Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Kuna kitu hapo hakiko sahihi,
Kukojoa kuna mahusiano gani na hilo tundu jike?
Au hujui kama mkojo unatokea tundu jingine ambalo lipo nje kabisa chini ya kin...be?
 
Yeah somo zuri hili Hb wa Ilala . Lakini, kama ukiweza endelea pia kufafanua namna hiyo pH inavyoweza kun influence utungaji wa mimba ME au KE. Kuna ndoa nyingi zinaangamia kwa kukosa maarifa kama haya.

Kutokana na hii pH, kuna wanawake ambao ni vigumu kushika mimba ya KE au ME na hivyo kupelekea migogoro mingi tu ya ndoa.
 
Kuna kitu hapo hakiko sahihi,
Kukojoa kuna mahusiano gani na hilo tundu jike?
Au hujui kama mkojo unatokea tundu jingine ambalo lipo nje kabisa chini ya kin...be?
..Mpka nmeandika Haya yote kweli unahisi sijui,sema ukimwaga sio content Yote inaenda some remain na znatoka kabisa nje
 
..ntaandika thread Ya namna Ya kupata aina ya mtoto unaetaka ondoa shaka [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…