Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

huyu ni mwongo kabisa, hakuna kitu kama hicho
..kwasababu umetoa conclusion Bila supportive evidence Yeyote na mimi nmeConclude kuwa hujielewi,,sipendagi ujinga mimi [emoji36]
 
Nimeuliza swali naomba msaada ndugu yangu, kuna sabuni inaitwa 'KAISIKI' imeandikwa sabuni ya wanawake, na imetengenezwa maalumu kwa ajili ya kunawia ukeni, je ni salama kwa matumizi hayo?
..depends on the content/Ingredients Mkuu
 
Ni kweli tena wakati wa kutafuta mimba mwanamke anashauriwa aweke mto chini ya kiuno alalie kwa dakika kama kumi baada ya sex, lakini kunawa ni muhimu, tumia maji tu. Uke unajisafisha wenyewe kila baada ya masaa nane.
Sasa na wale ambao wakifanya sperm zinakuwa zinatoka kidogo kidogo hata for 3 days si balaa[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa na wale ambao wakifanya sperm zinakuwa zinatoka kidogo kidogo hata for 3 days si balaa[emoji134] [emoji134] [emoji134]
..Kama lengo La ngono Yenu sio mimba hamna haja Ya deep penetration styles,tumia missionary tu ILI kurahisisha mchezo
 
Mbona kwa wanawake wengi wa kiislamu hizo harufu hazisikiki Bali marashi tu au wao ni wasafi zaidi mazingira hayo????
kwakweli japo ni swala linalo ingiliana na imani

ila naomb nikubaliane na wewe dada zetu wa upande wa pili wamajitahidi kwa usafi sijui wanatumia mbinu gani kujiswafi hutakutan na harufu za ajabu ajabu BIGUP
 
Mbona kwa wanawake wengi wa kiislamu hizo harufu hazisikiki Bali marashi tu au wao ni wasafi zaidi mazingira hayo????
kwakweli japo ni swala linalo ingiliana na imani

ila naomb nikubaliane na wewe dada zetu wa upande wa pili wamajitahidi kwa usafi sijui wanatumia mbinu gani kujiswafi hutakutan na harufu za ajabu ajabu BIGUP
 
Maana Ya pH ni Potential Hydrogen whereby pH scale Inaanza from 0-14 ambapo 1-5 ni acidic na 8-14 ni Basic. Kwa kawaida mwili wa Binadamu una pH yake na pH ya Vagina(Uke) ni kuanzia 3.8-4.5 nikimaanisha vagina ni acidic In nature!

Ipo hivyo so as to favour ukaaji wa bacteria fulani wanaitwa Lactobacilli ambao kazi yao kubwa ni kulinda uke from Infections mbalimbali giving it a certain smell na the fluids unazoziona kule ndo lactobacilli acid ambayo kazi yake ndo Hiyo, kwahiyo ikiondoka tu hiyo uke unashambuliwa na magonjwa kama yote!

VITU AMBAVYO HUATHIRI VAGINAL pH
1.SABUNI(SOAP)
Tumejengewa Imani kuwa inabidi kuosha uke na sabuni na powders kwamba unatoa harufu huku tukisahau kuwa uke unajisafisha wenyewe(Self cleaning) na Ile harufu ndo Yake sasa hii huathiri ecosystem ya uke. Kuna soaps zina PH 9-10 kwahiyo zinaathiri lactobacilli wanaolinda uke hivyo ulinzi wote unaondoka mashambulizi from infections yanakua very simple
SULUHISHO
Tumia maji Ya moto na kitambaa kuosha uke, au unaweza tafuta soaps zenye pH ya 4.5.

2.NGONO(SEX)
Shahawa zina pH karibia 9 na kuendelea depending na mtu kwahiyo kuwa nazo kwenye ukeni kunaathiri mazingira ya survival ya Lactobacilli kushambuliwa na magonjwa example candida microbes n.k inakua simple
SULUHISHO
Jitahidi kukojoa kila baada ya Kufanya Ngono!

3.KULA VYAKULA VYENYE SUKARI(SUGAR FOODS)
Kula vyakula vyenye sukari kunakaribisha ujio wa sugar loving microbes kama candida ivii instead jaribu kula small amount of sugar na simple carbs kama vile Yoghout na vitu kama Garlic ivii, maana Yoghourt creats mazingira mazuri ya lactobacillus na garlic inafanya mkojo kuwa more acidic.
Xawa kwa somo mkuu lakn naulza nikitumia mafuta ya mgando kulainisha uke wakat wa tendo kuna madhara kw mwnmke?
 
Xawa kwa somo mkuu lakn naulza nikitumia mafuta ya mgando kulainisha uke wakat wa tendo kuna madhara kw mwnmke?
..usitumie kabisa hayo kaka,Yana madhara especially a disease inaitwa vaginaosis alaf pia Yanasupport ukuaji wa Yeast/Fungi!!
 
Back
Top Bottom