Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Wazo zuri sana hilo la kuingiza ndoo maji na baseni[emoji23][emoji23][emoji23]

Mhusika ameshasema anogopa kutoka nje usiku, hii ni option tu ya kutolala na uchafu, au unamshauri aingize ndoo maji na basin chumbani kabla ya mechi?
Hahahahahaha[emoji15] napata picha mtu na m-basin wake chumbani na dumu la maji safi kwa ajili yakujiswafi baada ya match.dah nimecheka sana aisee.
 
Kumbe ndomana wazamiaji wengi wa uvinza wanababuka midomo tokana na acid.
 
huyu ni mwongo kabisa, hakuna kitu kama hicho
Samahani mkuu kama hutojali tunauomba ukweli wako ktk hili,maana hii ni aina ya wivu mtu kaamua apoteze mda wake kuelimisha jamii kwa kile anachohisi anakijua but wewe unazuka ulikotoka ku-crush ilhal wewe unaejiona unajua sana hujawahi ku share unachokijua kuhusu jambo hili.japo mie siyaelewi haya nahisi mengi yana ukweli na ilikuwa hikma kama ungeongeza unapohisi amekosea.tuwe na mioyo yakupongezana bwana.
 
..Kaka ukitaka Mimba tumia styles za deep penetration ILI Sperm zikitoka ziingee kwenye cervix kihurahisi,kawaida ukimwaga sperm sio zote znaingia ndani asilia kubwa hufa mwanzoni pale Ivyo huadhiri PH ya UKE
CC: sky eclat
 
Unasafisha nje si kuwa unaingiza na kufokoa humo ndani, naturally nyapu inajiflush kila baada ya masaa nane.
Halafu unakuja kuingia chumvini wakati ndo katoka lunch mmhhhhh
 
duh kazi ipo...maana mchepuko wangu akija home nikitupiamo wazungu sasa ikifika asubuhi naogopa hata kumgusa maana huko downstairs kunakuwa na ka harufu kama tuko Feri.....inaonekana ka eco syteam kake kabovu nini?
Analalaje hivyo hivyo mmh
 
Mhusika ameshasema anogopa kutoka nje usiku, hii ni option tu ya kutolala na uchafu, au unamshauri aingize ndoo maji na basin chumbani kabla ya mechi?
Haswaaa awe na beseni maalum kwa ajili hiyo
 
Mi nilifundishwa kujisafisha uke na maji BARIDI bila sabuni, na umalizapo tendo unachuchumaa kuna baadhi ya mbegu zitatoka baada ya hapo unatumia maji baridi kusafisha uke bila kuingiza kidole ndani na bila kutumia sabuni, kulala na shahawa kunatepetesha uke na kutumia maji moto pia kunalegeza uke, kujipangusa tu na kitambaa chenye maji sidhani kama unasafisha uke vizuri, maji baridi ya kutosha hutokuwa na harufu mbaya hata kidogo, pia kunywwa maziwa ya mgando kunasaidia sana kuimarisha afya ya uke., hata kuweka maiza ya mtindi kila umalizapo hedhi huepusha maradhi ya fungus kwa kuwa hizi pedi mara nyingi huwa zinaleta muwasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…