Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Wamekusikia mkuu
 

Kwahiyo kila baada ya ngono zembe unameza PEP kwa mwezi mzima?
 
..kwanini?!
Sababu zake hazina tofauti kama ulizoeleza hapo. Tulielezwa na Madaktari WATZ katika Training ya kutengeneza Sabuni Nairobi na aliitumia Sabuni alizotaja muuliza swali kama mfano wa udanganyifu wa kibiashara wanaofanyiwa Dada zetu.
 
Hivi sehemu zinapopita sperm ndo hapo hapo panapopita mkojo wa chooni, mbona mada imenichanganya kidogo, MANA MKOJO WATOKA KWENGINE NA SPERM ZAPITA KWENGINE INASAIDIA VIPI KUSAFISHA?
Good observation , Anatomy ya uke ni kuwa female urethra haipo kwenye Vagina canal sasa sijajua ni kwa namna gani mkojo unasaidia kusafisha semen baada ya ngono
 
Good observation , Anatomy ya uke ni kuwa female urethra haipo kwenye Vagina canal sasa sijajua ni kwa namna gani mkojo unasaidia kusafisha semen baada ya ngono
Can u send a drawing or something cha female anatomy nikueleweshe
 
Maana Ya pH ni Potential Hydrogen whereby pH scale Inaanza from 0-14 ambapo 1-5 ni acidic na 8-14 ni Basic. Kwa kawaida mwili wa Binadamu una pH yake na pH ya Vagina(Uke) ni kuanzia 3.8-4.5 nikimaanisha vagina ni acidic In nature!

Correction kwenye red
pH chini ya 7.0 ni acidic
pH ya 7.0 ni neutral
pH juu ya 7.0 ni basic.

Asante kwa elimu nzuri ya afya
 
Kutumia mate kulainisha k je kunamadhara yoyote???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…