Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekusikia mkuuMaana Ya pH ni Potential Hydrogen whereby pH scale Inaanza from 0-14 ambapo 1-5 ni acidic na 8-14 ni Basic. Kwa kawaida mwili wa Binadamu una pH yake na pH ya Vagina(Uke) ni kuanzia 3.8-4.5 nikimaanisha vagina ni acidic In nature!
Ipo hivyo so as to favour ukaaji wa bacteria fulani wanaitwa Lactobacilli ambao kazi yao kubwa ni kulinda uke from Infections mbalimbali giving it a certain smell na the fluids unazoziona kule ndo lactobacilli acid ambayo kazi yake ndo Hiyo, kwahiyo ikiondoka tu hiyo uke unashambuliwa na magonjwa kama yote!
VITU AMBAVYO HUATHIRI VAGINAL pH
1.SABUNI(SOAP)
Tumejengewa Imani kuwa inabidi kuosha uke na sabuni na powders kwamba unatoa harufu huku tukisahau kuwa uke unajisafisha wenyewe(Self cleaning) na Ile harufu ndo Yake sasa hii huathiri ecosystem ya uke. Kuna soaps zina PH 9-10 kwahiyo zinaathiri lactobacilli wanaolinda uke hivyo ulinzi wote unaondoka mashambulizi from infections yanakua very simple
SULUHISHO
Tumia maji Ya moto na kitambaa kuosha uke, au unaweza tafuta soaps zenye pH ya 4.5.
2.NGONO(SEX)
Shahawa zina pH karibia 9 na kuendelea depending na mtu kwahiyo kuwa nazo kwenye ukeni kunaathiri mazingira ya survival ya Lactobacilli kushambuliwa na magonjwa example candida microbes n.k inakua simple
SULUHISHO
Jitahidi kukojoa kila baada ya Kufanya Ngono!
3.KULA VYAKULA VYENYE SUKARI(SUGAR FOODS)
Kula vyakula vyenye sukari kunakaribisha ujio wa sugar loving microbes kama candida ivii instead jaribu kula small amount of sugar na simple carbs kama vile Yoghout na vitu kama Garlic ivii, maana Yoghourt creats mazingira mazuri ya lactobacillus na garlic inafanya mkojo kuwa more acidic.
Imbombo ngafu, jilipohuyu ni mwongo kabisa, hakuna kitu kama hicho
hajazungumzia wale wakutia madolenashukuru kwa somo..
maana hilo ni janga
..kabla Ya kuingiza kidole lazima uoshe mikono na kukata kuchahajazungumzia wale wakutia madole
hahahaaaaa kuna emergence mkuu mpaka ukanawe saa ngapi watuvumilie tu..kabla Ya kuingiza kidole lazima uoshe mikono na kukata kucha
Kwel sometimes hakuna namnahahahaaaaa kuna emergence mkuu mpaka ukanawe saa ngapi watuvumilie tu
Kama unaishi na partner au mke/mume ambae ni muathirika, madaktari watakwambia utumie ARV ili kujilinda, kama umefanya ngono zembe unashauriwa kuanza kunywa ARV's within 72 hours after, kabla virus hawajajiattach kwenye cells zako na kuanza kuriplicate. The same way, ukiwa na partner ambae humwamini, unakunywa ARV, hata kama ana VVU haviwezi kureplicate kwani ARV ina inhibit.
Sababu zake hazina tofauti kama ulizoeleza hapo. Tulielezwa na Madaktari WATZ katika Training ya kutengeneza Sabuni Nairobi na aliitumia Sabuni alizotaja muuliza swali kama mfano wa udanganyifu wa kibiashara wanaofanyiwa Dada zetu...kwanini?!
Good observation , Anatomy ya uke ni kuwa female urethra haipo kwenye Vagina canal sasa sijajua ni kwa namna gani mkojo unasaidia kusafisha semen baada ya ngonoHivi sehemu zinapopita sperm ndo hapo hapo panapopita mkojo wa chooni, mbona mada imenichanganya kidogo, MANA MKOJO WATOKA KWENGINE NA SPERM ZAPITA KWENGINE INASAIDIA VIPI KUSAFISHA?
huwaga najiuliza swali hilo hilo, nashindwa kuwasemea moyo.Sasa wale madada duh wa Dar wanafanyaje coz wanakucha kma mashetani
Can u send a drawing or something cha female anatomy nikuelewesheGood observation , Anatomy ya uke ni kuwa female urethra haipo kwenye Vagina canal sasa sijajua ni kwa namna gani mkojo unasaidia kusafisha semen baada ya ngono
..watakua hawasafishi walehuwaga najiuliza swali hilo hilo, nashindwa kuwasemea moyo.
Can u send a drawing or something cha female anatomy nikueleweshe
Hao ndo wanafata mitindo ya kilio ya kwamba K inajisafisha yenyewe..lol..watakua hawasafishi wale
Maana Ya pH ni Potential Hydrogen whereby pH scale Inaanza from 0-14 ambapo 1-5 ni acidic na 8-14 ni Basic. Kwa kawaida mwili wa Binadamu una pH yake na pH ya Vagina(Uke) ni kuanzia 3.8-4.5 nikimaanisha vagina ni acidic In nature!
..Asante mkuuCorrection kwenye red
pH chini ya 7.0 ni acidic
pH ya 7.0 ni neutral
pH juu ya 7.0 ni basic.
Asante kwa elimu nzuri ya afya
AsanteSiyo salama hata kidogo
blaza inaonekana unawapenda sana nyani, manake Avatar zako ni balaa.hehehehSomo zuri saan kwa kina mwajuma