Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

..kuna POST Ya vilainishi nimeandika Mkuu iangalie utapata knowledge Ya kutosha
 
Kuna sehemu nilisoma kwa hawa makungwi wetu wa siku hiz instagram alikuwa anashaur kuoshea maji ya mchai mchai kwa bibi kunapunguza kabisa harufu mbaya ,pia akashaur kunywa maziwa mgando ,na pia akashaur kutawadhia maji ya barid unapomaliza tendo na pia alisema barafu haina madhara kwenye uke,unakata unaweka kwa bibi kwa ndani unavaa pedi inasaidia kutoa uchafu uliopo ndani,je ni sahihi maana ss wanawake tunapenda kufatilia mada hiz za kwa bibi .naomba kujuzwa kama hivyo vitu ni sahihi au si sahihi nielewe.
 

Kwa maelezo haya nitatafuta namna nuengine ya upigaji deki maana ugonjwa wangu huo wa kupima Oil,ila uzuri sijaona kuandikwa ukandaji wa ngano na uvutaji uradi mitaendeleza[emoji12][emoji12]
 
Hiyo namba 2 sijakusoma kabisa unaposema baada ya sex akojoe. Perinium ya female ina 3 orifices ambazo ni anus, vagina and urethral opening. Spermatozoa zinakuwa deposited into the vagina, urine from the urinary bladder inapita kwenye tundu Lake ambalo halina mahusiano na vagina. Kama hivi ndivyo maumbile yalivyo je kukojoa kutasaidia nini?
 
..zina chemicals,but sana ni kwa watoto ndo zina madhara
Kuna baadbi ya wataalamu wanashuri kusiwekwe kitu chochote chenye chemical sehemu za siri amasivyo kwa ushauri was watalaam.
Uvaaji au utumiaji wa pant linear ah hizo whipper sio salama kwa afya ya uke kwa asilimia mia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…