Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

..kuna POST Ya vilainishi nimeandika Mkuu iangalie utapata knowledge Ya kutosha
 
Kuna sehemu nilisoma kwa hawa makungwi wetu wa siku hiz instagram alikuwa anashaur kuoshea maji ya mchai mchai kwa bibi kunapunguza kabisa harufu mbaya ,pia akashaur kunywa maziwa mgando ,na pia akashaur kutawadhia maji ya barid unapomaliza tendo na pia alisema barafu haina madhara kwenye uke,unakata unaweka kwa bibi kwa ndani unavaa pedi inasaidia kutoa uchafu uliopo ndani,je ni sahihi maana ss wanawake tunapenda kufatilia mada hiz za kwa bibi .naomba kujuzwa kama hivyo vitu ni sahihi au si sahihi nielewe.
 
Kama unaishi na partner au mke/mume ambae ni muathirika, madaktari watakwambia utumie ARV ili kujilinda, kama umefanya ngono zembe unashauriwa kuanza kunywa ARV's within 72 hours after, kabla virus hawajajiattach kwenye cells zako na kuanza kuriplicate. The same way, ukiwa na partner ambae humwamini, unakunywa ARV, hata kama ana VVU haviwezi kureplicate kwani ARV ina inhibit.

Kwa maelezo haya nitatafuta namna nuengine ya upigaji deki maana ugonjwa wangu huo wa kupima Oil,ila uzuri sijaona kuandikwa ukandaji wa ngano na uvutaji uradi mitaendeleza[emoji12][emoji12]
 
Maana Ya pH ni Potential Hydrogen whereby pH scale Inaanza from 0-14 ambapo 1-5 ni acidic na 8-14 ni Basic. Kwa kawaida mwili wa Binadamu una pH yake na pH ya Vagina(Uke) ni kuanzia 3.8-4.5 nikimaanisha vagina ni acidic In nature!

Ipo hivyo so as to favour ukaaji wa bacteria fulani wanaitwa Lactobacilli ambao kazi yao kubwa ni kulinda uke from Infections mbalimbali giving it a certain smell na the fluids unazoziona kule ndo lactobacilli acid ambayo kazi yake ndo Hiyo, kwahiyo ikiondoka tu hiyo uke unashambuliwa na magonjwa kama yote!

VITU AMBAVYO HUATHIRI VAGINAL pH

1.SABUNI(SOAP)
Tumejengewa Imani kuwa inabidi kuosha uke na sabuni na powders kwamba unatoa harufu huku tukisahau kuwa uke unajisafisha wenyewe(Self cleaning) na Ile harufu ndo Yake sasa hii huathiri ecosystem ya uke. Kuna soaps zina PH 9-10 kwahiyo zinaathiri lactobacilli wanaolinda uke hivyo ulinzi wote unaondoka mashambulizi from infections yanakua very simple
SULUHISHO
Tumia maji Ya moto na kitambaa kuosha uke, au unaweza tafuta soaps zenye pH ya 4.5.

2.NGONO(SEX)
Shahawa zina pH karibia 9 na kuendelea depending na mtu kwahiyo kuwa nazo kwenye ukeni kunaathiri mazingira ya survival ya Lactobacilli kushambuliwa na magonjwa example candida microbes n.k inakua simple
SULUHISHO
Jitahidi kukojoa kila baada ya Kufanya Ngono!

3.KULA VYAKULA VYENYE SUKARI(SUGAR FOODS)
Kula vyakula vyenye sukari kunakaribisha ujio wa sugar loving microbes kama candida ivii instead jaribu kula small amount of sugar na simple carbs kama vile Yoghout na vitu kama Garlic ivii, maana Yoghourt creats mazingira mazuri ya lactobacillus na garlic inafanya mkojo kuwa more acidic.
Hiyo namba 2 sijakusoma kabisa unaposema baada ya sex akojoe. Perinium ya female ina 3 orifices ambazo ni anus, vagina and urethral opening. Spermatozoa zinakuwa deposited into the vagina, urine from the urinary bladder inapita kwenye tundu Lake ambalo halina mahusiano na vagina. Kama hivi ndivyo maumbile yalivyo je kukojoa kutasaidia nini?
 
..zina chemicals,but sana ni kwa watoto ndo zina madhara
Kuna baadbi ya wataalamu wanashuri kusiwekwe kitu chochote chenye chemical sehemu za siri amasivyo kwa ushauri was watalaam.
Uvaaji au utumiaji wa pant linear ah hizo whipper sio salama kwa afya ya uke kwa asilimia mia.
 
Back
Top Bottom