Genius one
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 134
- 69
kwanza napenda niweke wazi kwamba Mimi ni mmoja kati watanzania wanaoingiza bidhaa mbalimbali kutoka China na Marekani(USA) yaani (importers).
Naamini wengi tunajua kuwa wafanyabiashara wengi sana wanao uza bidhaa ktk masoko kama EBay na Amazon ni matajiri sana. Kuna jamaa mmoja yeye anaishi marekani na anauza $1600- 1700 kwa siku ambayo ni zaidi ya million tatu TShs Kwa siku.
Ukifikiria kwa umakini utabaini kwamba hii ni fursa kubwa saana kibiashara, wenzetu wanaigeria wameshaiona hii fursa and they are thriving on sales.
Ombi kama kuna mtanzania mwenzetu mwenye ABCs jinsi ya kuuza kwenye haya masoko tunamuomba atupe mwanga hapa jukwaani ili nasi tuongeze vipato vyetu na uchumi Wa inchi yetu.Mimi nilijaribu kikwazo ni kwamba ukiwa Tanzania huwezi kupokea malipo kwa njia ya Paypal.There is any alternative? Let us share here friends!