Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Imefikia wapi wazo hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soko la vyakula lipo vizuriKwanza inabidi uwaulize hao ebay kama wanakubali kutumia njia nyingine ya malipo zaidi ya paypal, unaweza kuweka njia yako unayoona ni the best. Amazon wanakata pesa kutoka kwenye kadi yako moja kwa moja. Naona hii unaweza hii njia.
Pia umeshajiuliza utauza nini huko? Nakushauri kama unaweza ku-meet international standards za vyakula, unaweza kuuza huko.