Kwanza inabidi uwaulize hao ebay kama wanakubali kutumia njia nyingine ya malipo zaidi ya paypal, unaweza kuweka njia yako unayoona ni the best. Amazon wanakata pesa kutoka kwenye kadi yako moja kwa moja. Naona hii unaweza hii njia.
Pia umeshajiuliza utauza nini huko? Nakushauri kama unaweza ku-meet international standards za vyakula, unaweza kuuza huko.