P preshaz New Member Joined Dec 26, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Feb 26, 2013 #1 habar wakuu, mimi nina tatizo nimenunua hisa precision air nataka kuziuza ila sijajua mchakato unakuaje naomba mnisaidie kwa anayejua
habar wakuu, mimi nina tatizo nimenunua hisa precision air nataka kuziuza ila sijajua mchakato unakuaje naomba mnisaidie kwa anayejua
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,341 Feb 26, 2013 #2 Ulinunulia kwa broker gani? Bank ama kampuni ndani ya dar stock exchange?
pettymarcel JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,161 Reaction score 880 Feb 27, 2013 #3 Chimbuvu said: Ulinunulia kwa broker gani? Bank ama kampuni ndani ya dar stock exchange? Click to expand... Kwa upande wangu nilinunua kwa kampun precision air na nataka kuuza pia je unaweza nisaidia mkuu kama una aidia
Chimbuvu said: Ulinunulia kwa broker gani? Bank ama kampuni ndani ya dar stock exchange? Click to expand... Kwa upande wangu nilinunua kwa kampun precision air na nataka kuuza pia je unaweza nisaidia mkuu kama una aidia
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,341 Feb 27, 2013 #4 crdb walikuwa wanaziuza,,nenda crdb bank customer care uwaambie unauza hisa ili waziweke over the counter otc kwa ajili ya kumuuzia mtu yeyote anayetaka nunua pettymarcel said: Kwa upande wangu nilinunua kwa kampun precision air na nataka kuuza pia je unaweza nisaidia mkuu kama una aidia Click to expand...
crdb walikuwa wanaziuza,,nenda crdb bank customer care uwaambie unauza hisa ili waziweke over the counter otc kwa ajili ya kumuuzia mtu yeyote anayetaka nunua pettymarcel said: Kwa upande wangu nilinunua kwa kampun precision air na nataka kuuza pia je unaweza nisaidia mkuu kama una aidia Click to expand...