Jinsi ya kuuza hisa katika kampuni

Jinsi ya kuuza hisa katika kampuni

preshaz

New Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1
Reaction score
0
habar wakuu, mimi nina tatizo nimenunua hisa precision air nataka kuziuza ila sijajua mchakato unakuaje naomba mnisaidie kwa anayejua
 
Ulinunulia kwa broker gani? Bank ama kampuni ndani ya dar stock exchange?
 
Ulinunulia kwa broker gani? Bank ama kampuni ndani ya dar stock exchange?

Kwa upande wangu nilinunua kwa kampun precision air na nataka kuuza pia je unaweza nisaidia mkuu kama una aidia
 
crdb walikuwa wanaziuza,,nenda crdb bank customer care uwaambie unauza hisa ili waziweke over the counter otc kwa ajili ya kumuuzia mtu yeyote anayetaka nunua

Kwa upande wangu nilinunua kwa kampun precision air na nataka kuuza pia je unaweza nisaidia mkuu kama una aidia
 
Back
Top Bottom