Jinsi ya kuvaa kutoka na umbo lako lilivyo

Jinsi ya kuvaa kutoka na umbo lako lilivyo

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
426
Habari zenu nivae vazi gani kutokana na nilivyo? iisaidieni nivae nguo gani nipendeze nimrefu sio mnene wala mwembamba sana nina maziwa makubwa kiasi sina chura miguu miembamba nishaurini mavazi gani nikivaa nitapendeza?
 
Hbr zenu!!!
Nivae vazi gani kutokana na nilivyo?
Nisaidien nivae nguo gani nipendeze
Nimrefu sio mnene wala mwembamba sana Nina maziwa makubwa kiasi
Sina chura... Miguu miembamba nishaurini mavazi gani nikivaa nitapendeza?
Usivae kimini utachekesha, vaa gauni refu, au tupia dela
 
Duu hizo figure zenu zinawapa tabu sana. Just be simple jamani. Mshukuru mwenyezi Mungu alivyokuumba na mwombe akufundishe mavazi mazuri ya kuvutia. Then jikubali hali yako ilivyo ili kujiondolea stress zisizokuwa na maana wala mashiko. Ukweli huwezi kujibadilisha naturally ulivyoumbwa labda ufanye artificial plastic surgeries. Whya all these? Jikubali na maisha yatasonga kwa amani sana Anna pita.
 
Wanawake wa Dar na wanamme wa Dar nyote akili zinafanana badala ya kufikilia lutafuta pesa unafikilia ni jinsi gani utawakosha wanamme faraaaasiiiii
 
Duh! Vaa vyovyote ali mradi ujisikie vizuri tu. Kupendeza ama kutopendeza ni kitu unazaliwa nayo.
 
Jikubali na jiamini
Usivae wala kununua nguo kwasababu tu watu wengine wanavaa au fulani kavaa kapendeza
Pendelea kuvaa magauni marefu ila mazuri ambayo yatakufanya upendeze.

Vitenge pia vitakupendeza ukishona ila ukipata fundi mzuri atakaekushauri na kukuchagulia mitindo ya kisasa kutokana na umbo lako.
Usinunue nguo bila nafsi yako kuridhika kuwa umependeza na upo comfortable mana si kila atakaekuambia imekupeñdeza inakuwa kweli
 
Vaa vigauni vifupi hivyohivyo na miguu yako membamba.tafuta vigauni vinavyokubana na vifupi hadi chini ya magoti kidogo.wakati ukivaa wala usiwaze kuhusu miguu yako
 
Mie maziwa makubwa ndio ugonjwa wangu siangaliagi kingine.
 
Back
Top Bottom