Jinsi ya kuvaa kutoka na umbo lako lilivyo

Jinsi ya kuvaa kutoka na umbo lako lilivyo

Nunua zile PICHU zenye makalio ya bandia Then tupia Dela. Watalii watavutiwa pasi na shaka kabisa.
 
Vaa nguo za mikono mirefu
Usivae pull neck wala tshirt
Nguo zako zote ziwe na V kifuani
Nguo ndefu
Bra kwa vicky lingerie ni very expensive niliwahi kuulizia 40D ilikua Tzs 60000/= kwa sidiria moja
 
Back
Top Bottom