Jinsi ya kuvaa utokapo usiku

Jinsi ya kuvaa utokapo usiku

simonereneus

Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
11
Reaction score
10
Watu wengi hupenda kutoka usiku kwa miadi tofauti tofauti. sasa ili utokelezee na uonekane tofauti na wengine unatakiwa kuvaa simple lakini muonekano wa kuvutia. leo nimekuletea jinsi ya kuvaa pindi utokapo usiku.

JEANS,SHIRT NA KOTI
unaweza ukaamua kuvaa jeans na shati halafu juu ukaweka na koti la kawaida kabisa si lazima liwe koti la suti huku chini ukitupia raba kali.ila usivae shati kubwa sana au koti kubwa sana utaonekana ni kituko

T SHIRT NA JEANS

t shirt na jeans ni nguo zisizoisha fashion hasa kwa vijana ila ni miundo tu ndo hutofautiana hivyo basi kama ukitoka usiku ukavaa t shirt na jeans utakuwa umetisha kinoma ila usivae t shirt yenye michoro mingi au urembo mwingi usiokuwa na maana na chini unaeza tupia raba au makubazi mazuri ila ni vyema ukavaa raba ili uonekane gentleman

PANT
ni kama track suits ila yenyewe ni nzito na imeongezewa urembo na nakshi ili iwe na muonekano mzuri juu unaweza valia na t shirt au vest na chini kama kawaida raba kali utanoga sana

SHORT PANT
hii ni pensi kama inavyojulikana kwa kiswahili hii huvaliwa na t shirt au vest na simple shoes au makubazi pensi hukufanya ujisikie free kwa sababu mda mwingi unakuwa umevaa suruali hivyo ukivaa pensi unakuwa comfortable

SHATI NA SURUALI
unatakiwa kuvaa simple shirt na suruali hapa nyeusi ndo itapendeza zaidi kwa kuwa ni mtoko wa usiku hakikisha unapata kiatu cheusi au rangi ya brown itanoga sana pia unaweza ukavaa mkanda au usivae kabisa vyote ni sawa tu

TRACKSUIT
kama utatoka usiku kwenda mahali kutembea na ukaamua kuvaa tracksuit itapendeza sana kwanza utakuwa comfortable. unaweza vaa na viatu au makubazi vyote ni sawa tu ila epuka kuvaa rangi tofauti tofauti ni vyema ukamatch rangi ili upendeze zaidi

ACCESSORIES
unaweza ukaweka na accessories kama vile miwani, saa, kidani

MIWANI
epuka kuvaa miwani tinted mana ni miwani ambayo huvaliwa mchana ili kujikinga na jua ukivaa hiyo usiku utaonekana mshamba

SAA
usivae saa zenye urembo mwingi ni vyema ukavaa saa ambayo ni simple

CHENI
kama utavaa cheni usivae cheni nyingi utaboa ni vyema ukavaa cheni moja ama mbili na si zaidi ya hapo utanoga sana

yangu ni hayo tu i hope utaenjoy pindi utokapo usiku
 
i see hataree
 
Lakini mavazi yanaendana na hali ya hewa huku dar uvae tshirt na koti juu
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom