Calamity
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 856
- 47
Wataalam nisaidieni kuna mitambo ya kusafisha majitaka hapa kiwanda cha bia cha serengeti iliyofungwa na kampuni ya Waterleau ya Belgium na katika Recirculation ya maji kusafishwa, kuna mabomba yameelekezwa ndani ya visima vya maji taka ambapo hufyonza gas iliyomo mule ndani ya matenki yaliyozibwa na kupitia ndani ya kamtambo kadogo na kuwa converted-biogas baada ya hapo gas huanza kuwaka automatic (24hrs) kupitia kwenye paipu lililofungwa kuelekezwa angani.
nadhani kwa watu wa Mwanza mmesha shuhudia moto ukiwaka juu ukiwa kwenye sehemu za nyakato eneo la viwanda
Mwanza-Musoma upande wa kulia.
je ni kwajinsi gani twaweza kuvuna gas hii na ikasaidia matumizi ya kawaida.