W Watu pori Senior Member Joined Jan 15, 2017 Posts 100 Reaction score 39 Nov 2, 2018 #1 Kwa wale wanaojua kuvundika ndizi na zikaiva vizuri Naomba msada Jinsi ya kufanya
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Nov 2, 2018 #2 Naweka Kambi Kupata Maarifa Mapya
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 21,952 Reaction score 43,265 Nov 2, 2018 #3 Sisi tumevundika kwenye Pumbaa inajotoo Sana....au wekaa kwenye manguo mengii zifunikiee
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,877 Reaction score 5,022 Nov 2, 2018 #4 Ndizi kwa ajili ya biashara au za matumizi tu ya nyumbani
W Watu pori Senior Member Joined Jan 15, 2017 Posts 100 Reaction score 39 Nov 2, 2018 Thread starter #5 Nashukuru kwa msada wako
W Watu pori Senior Member Joined Jan 15, 2017 Posts 100 Reaction score 39 Nov 2, 2018 Thread starter #6 Kwa ajili ya biashara
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Nov 2, 2018 #7 hua naziweka kwenye mifuko meusi, nazitupa store, baada ya siku 2 tatu kitu mwake, nb: hapa nzungumzia kwa mikungu minnne mitano ivi
hua naziweka kwenye mifuko meusi, nazitupa store, baada ya siku 2 tatu kitu mwake, nb: hapa nzungumzia kwa mikungu minnne mitano ivi
W Watu pori Senior Member Joined Jan 15, 2017 Posts 100 Reaction score 39 Nov 2, 2018 Thread starter #8 Mifuko meusi
W Watu pori Senior Member Joined Jan 15, 2017 Posts 100 Reaction score 39 Nov 2, 2018 Thread starter #9 Mifuko meusi iko vipi