๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ฑ๐—บ๐—ถ๐—ป ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ด๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—น๐—ผ๐—น๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—น๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ

Unatuma tu kama message ya kawaida kwenye chats?

Duh,
Usumbufu mwingi huu, bora ukodi mtu akufanyie!

Ukiweza kujipenyeza kinyemela kama hivyo ukawa admin (wa mchongo), je unaweza ku-remove admin halisi?
Hehehe kijana naona unavutiwa na kuwa tapeli
 
Kumbukeni ukifanya michezo hiyo kwenye group ambalo admin naye anajua mambo hayo utajuta!!!
Anaweza akakuhack kila kitu
 
Sasa si naona wewe umeenda extra mile.
Yani unaulizia mpk jins ya kumtoa admin uliyemkuta ili group uongoze ww kinyamela ๐Ÿ˜ƒ
No, siyo kuongoza kinyemela.
Nikishamtoa admin namiliki mimi hilo group, nabadili jina la group, naweka admin wasaidizi wangu wapya na kuweka kanuni mpya. Just for fun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ