๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ฑ๐—บ๐—ถ๐—ป ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ด๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—น๐—ผ๐—น๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—น๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ

๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ฑ๐—บ๐—ถ๐—ป ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ด๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—น๐—ผ๐—น๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—น๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ

๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ฑ๐—บ๐—ถ๐—ป ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ด๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—น๐—ผ๐—น๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—น๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ

View attachment 3240783

Najua umeshawahi kujiuliza hivi inawezekana kuwa group Admin wa Kundi lolote la Whatsapp ?

๐Ÿ•ฏ๏ธNaam inawezekana japo sio ๐Ÿ˜ rahisi kha unavyojua Sasa Leo nakuletea maujanja haya ukiyafanya kwenye simu yako ili kuwa admin kwenye group lolote lile sawa !!

View attachment 3240784

๐Ÿ•ฏ๏ธIla unahitaji kidogo uwe na knowledge kuhusu coding kwenye masuala ya binary number ambazo zinahusisha namba mbili TU 0 pamoja 1

View attachment 3240785

๐Ÿ•ฏ๏ธNgoja nikupe list la binary number utatumia kuwa admin wa kikundi chochote Cha Whatsapp bila ruhusa.

0 = 0 0 0 0 ,1 = 0-0-0-1,2 = 0-0-1-0
3 = 0-0-1-1 ,4 = 0-1-0-0, 5 = 0-1-0-1
6 = 0-1-1-0 7 = 0-1-1-1,8 = 1-0-0-0 na 9 = 1-0-0-1

๐Ÿ•ฏ๏ธIli kuwa admin Sasa kwanza ingia kwenye kikundi unachotaka kuwa admin kisha tafuta namba ya admin.

View attachment 3240788

๐Ÿš€ Kopi hiyo namba ya admin kwa mfumo wowote ule huwe wa international au local yani ๐Ÿ‘‡
Mfano +255 655 013 250 au 0788 183 556

๐Ÿ•ฏ๏ธHiyo ni Tanzania format โœ๏ธ Sasa hapo unahitaji ku convert hizo number kutoka namba za kawaida kuwa binary number.

โœ… Mfano 0788 itakua ni 0000011110001000 na nk.ukimaliza Sasa inabidi ufanye kwenye notepad yako kisha uta paste hapa ๐Ÿ‘‰...

View attachment 3240789

โ€œcng=true?=[weka namba ya admin mfumo wa binary]! [Weka namba yako mfumo wa binary ]&findchache.mnc.id=[802]ste5%Set.content?/ rfd=gvโ€

Mfano Ambapo itakua kama hivi ๐Ÿ‘‡
โ€œcng=true?=[0000011101110010001101000010000000000000]! [100100010000000000000000000000000000000000000000]&findchache.mnc.id=[802]ste5%Set.content?/ rfd=gvโ€

Baada ya hapo utachukua hiyo link nzima utaiweka kwenye kikundi ambacho unataka kuwa admin kisha utatuma.

Ukimaliza Sasa unachotakiwa kufanya ni kutoka kwenye Whatsapp yako ingia setting kwenye simu yako kisha app alafu Tafutq app yako Whatsapp clear data na cache.

Hakikisha umefanya backups za data zako baada ya hapo utafungua Whatsapp na kuandika namba yako na kuingia kwenye Whatsapp yako utaona Sasa umekua admin ๐Ÿ˜.

Natumai umefanikiwa sio ๐Ÿ’ช t
uachie maoni yako Sasa ?
HApo hakuna ukwel wowote mkuu. Binary haifanyi kazi hvyo. Unapoingiza hiyo txt ulyocopy unakumbuka kuwa inakuwa marked kama sehemu ya conversation katika paragraph mpy?

Hebu 2letee v2 vyenye tech sio kuhangaisha watu na vitu visivyokuwepo.
 
Computer Science inahusika na misingi ya computer, algorithm na utengenezaji wa software.
Computer Engineering inahusika na muingiliano kati ya nadharia za computer na uhandisi wa umeme.
Information Technology inahusika na matumizi ya teknolojia katika kutatua matatizo, ikiwa mi pamoja kuiweka sawa katika hali bora ya utendaji mifumo ya computer

NB: zingatia tafsiri pana ya computer. Computer sio lazima iwe PC au laptop tu, hata kitasa cha mlango kinachotumia alama za vidole ni computer
Samahani tena mkuu, katika hizo course tatu ulizozielezea kwa ufupi, ipi kati ya hizo ni kubwa kuliko nyingine (Yaani kati ya wasomi wahitimu, yupi huwa na uwezo mpana zaidi kuhusu computers kuwazidi wenzake ?)
 
Back
Top Bottom