Jinsi ya kuwa Expert Member

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
1,508
Reaction score
2,619
Amani iwe nanyi Great Thinkers!

Nimejaribu kupost threads kwenye majukwaa mbalimbali lakini nimeshindwa. Sijui kwa nini wakati siku ya kwanza najiunga JF ilikuwa rahisi tu kupost ktk lile jukwaa la UTAMBULISHO.

Naomba kufahamu pengine kuna vigezo vya kuzingatia ili uweze kupost thread ktk jukwaa lolote.

UPDATES:

Nilikuwa najaribu pia (sikuwahi) kupost ktk jukwaa hili lakn nimeona imekubali. Kwa nini nashindwa ktk majukwaa mengine?

Moderator

Mod One

Mod Two

Mod Three

Mod Four

Invisible

PainKiller

NightCrawler

Active

Mhariri

Cookie
 
Farolito said:
Endelea kujaribu ukiona unakwama wasiliana na @Moderator

Sawa mkuu, nmejaribu pia kucomment kwenye jukwaa fulani ikashindikana.
 
Kiziwanda Chema said:
Utakua na tatizo la Problems and Troubleshooting, jitahidi kuandika kwa kurembesha mwandiko tena ule wa kulala.
Kila la heri.

Mwandiko wa kulala unamaanisha ITALIC ama?
 
Mkuu Shombe la Kisomali mi mwenyewe huwa naogopa hata kucomment kweny lile jukwaa (huwa napita kimya kimya) maana......


Acha wenye Intelejensia zao wadumishe maana halisi ya lile jukwaa. Japo kuna wapuuzi huwa wanaliingilia lile jukwaa kwa kucomment upuuzi wao. Huwa natamani hata niwe Mod ktk lile jukwaa... Yaan wapuuz wote wasingetia mguu pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…