Jinsi ya kuwa Expert Member

Jinsi ya kuwa Expert Member

Maybe uliingia mkukumkuku jukwaa la great thinker.kule mzee baba hata Ku reply hakuna 😄😄😄😄 kama unakichwa cha kuku lakin
 
Kimwerymdodo5 mbona Jamii Intelligence nakomment? Kwan we kule huwez kukoment? Habari na hoja mchanganyiko ndio ilikuw inanipa shida. Ila sasa mambo yanaenda sawia.

me forum zote nafanya kila kitu except great thinkers cz cjajienroll kweny hilo jukwaa.ila mm mara ya kwanza wakat naanza kuperuz as a new member,kwenye jukwaa la great thinkers nilikuwa na reply(cjawah kupost) ila baadae kidogo nikawa cwez kureply chchte kwenye hilo jukwaa,lkn kwengine mambo ni mukidee.pia ckupata shida ya aina yyte kama ww...
 
Back
Top Bottom