Jinsi ya kuwa muungwana wa kisasa ( gentleman wa kisasa )

Jinsi ya kuwa muungwana wa kisasa ( gentleman wa kisasa )

Nini tafsiri ya neno Handsome na Gentleman. Pia tofauti zao.
handsome linasifia uzuri wa sura nk...gentleman ni utanashati na tabia na uungwana au uhandsome mtu anazaliwa nao au anajitengeneza ila ugentleman ni mfumo wa maisha mtu anajifunza
 
Ila kuna wanaume wanasifa jamaniii hadi unajihisi hapa duniani hujui kitu,..halafu anajiona "jentomani" nayeye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni hatari ukiona hvo kuna watu wakishaona jinsia ke tu wanachanganyikiwa wanaruka mpaka samasoti
 
Tatizo langu ni moja nikiwa naelezea kitu au nawaelimisha watu juu ya jambo furani huwa sikutanishi nao nyuso na nahisi ni kama katabia kawoga ambako kananisumbua sijui kataisha lini
 
Back
Top Bottom