Jinsi ya Kuwa mwenyeji jijini Dar es Salaam

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari JF

Mimi ni mgeni hapa Dar es salaam. Sasa nimepata Bajaj kwa ajili ya Uber na bolt Ila mji siujui Sana.

Eneo ni Kariakoo Posta nk

Je, nitumie njia gani ili niujue mji kwa haraka

Ahsante naomba Msaada
 
Utaujua tuu mkuu. Tumia Map. Siku ambazo uendeshi bajaji jaribu kuzunguka zunguka na daladala
 
Fuata ushuri wa kutumia Google map,pia kuna Application za Map ambazo hazihitaji kua na internet,zinafanya kazi offline,hizi zitakusaidia zaidi,

Pia kua makini sana na abiria wako,usimuamini mtu kupita kiasi,jaribu kuongea na madereva wazoefu wa hizo kazi ili ujue mawili matatu yaliyomo humo.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…