Ndikusyaganya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 220
- 121
Wakuu habarini hapa Jamvini?
Weekend ya leo naomba mwenye uelewa mtoe ujuzi wa namna ya kuwa au kuifhinishwa kuwa Super Agent au AGGREGATOR wa mitandao mbali mbali ya simu haya TZ kwa huduma za e-money like TIGOPESA, M-Pesa, Airtel Money, Halo Pesa na zingine ...
NB: Kwenye maduka yao hawatoi ushirikiano mzuri katika taarifa hizi sijui kwanini?
Naomba kuelimika tafadhali?