Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako walishapanda vijana Tu Wana ekari 100 michikichi na Wana ekari 100 minazi kwa sasa wanazuga kijiweni lakini in 5yrs to come watakua wanakula wakiwa wamekaaNataka nipande zao la michikichi linalotoa mafuta ya mawese hekari 30, najua miaka minne nitahustle lakini nikianza kukamua, nimetokaa.
Kweli kwenye makaratasi wanavodanganyana urahisi Wana akili Sana , lakini real world haitaki kelele , hua nacheka Tu mwisho nakaa zangu kimyaDunia unayoijua wewe ya kwenye makaratasi na tunayoijua sisi ni tofauti
Soko la minazi liko wapi? Hebu nielekeze niongeze hata hekari 20, sijafika miaka 30 kwahiyo future naiyona vizuri, kwa kigoma nimefanya research sijona mtu mwenye hekari 100 za mchikichi, kama hekari 10, mtu anaweza kuishi vizuri vipi kuhusu hekari 100?, swali langu ikiwa kila mtu atazalisha mawese vipi kuhusu soko lake?Wenza
Wenzako walishapanda vijana Tu Wana ekari 100 michikichi na Wana ekari 100 minazi kwa sasa wanazuga kijiweni lakini in 5yrs to come watakua wanakula wakiwa wamekaa
Kigoma mtafute kijana anaitwa Adam alikua songas ana ekari 150 za michikichi hizo ni jumla ziko maeneo tofautitofauti , halafu uulizie mzee mmoja anaitwa tupa tupa ana 100 ziko pamoja wako wengi , huyo Adam ndio liwale na kilwa na maguzoni tanga ana ekari jumla kama 120 kapanda minazi huyo ni mmoja namfahamu , wewe sema umefanya tafiti wenzako anaenda hapa anawekeza ekari 40 au 50 anakua anahama hivo hivo sasa endelea na tafiti zako wenzio fursa wanafakia juu kwa juu na hawapo mitandaoniSoko la monazi liko wapi? Hebu nielekeze niongeze hata hekari 20, sijafika 30 kwahiyo future naiyona vizuri, kwa kigoma nimefanya research sijona mtu mwenye hekari 100 za mchikichi, kama hekari 10, mtu anaweza kuishi vizuri vipi kuhusu hekari 100?, swali langu ikiwa kila mtu atazalisha mawese vipi kuhusu soko lake?
Basi huyo ni tajiri na pesa yake kaipata sehemu nyingine anawekeza, imagine shamba tu hekari 30 nilitumia million 7(shamba lipo bondeni karibu na town hekari 1 laki mbili na nusu ), kwenda kuulizia miche 5000 mmoja, sehemu zingine 3000 (tenera), Miche Kwa hekari Moja ni 60, kwa hekari 30 ni zaidi ya miche 1800, ambayo ni sawa na million 9, jumla ni million 14, hapo bado gharama za kusafisha shamba pamoja na kupalilia, kuchimba mashimo, mbolea n.k ....kwahiyo hizo hekari 100 wanafanya matajiri.Kigoma mtafute kijana anaitwa Adam alikua songas ana ekari 150 za michikichi hizo ni jumla ziko maeneo tofautitofauti , halafu uulizie mzee mmoja anaitwa tupa tupa ana 100 ziko pamoja wako wengi , huyo Adam ndio liwale na kilwa na maguzoni tanga ana ekari jumla kama 120 kapanda minazi huyo ni mmoja namfahamu , wewe sema umefanya tafiti wenzako anaenda hapa anawekeza ekari 40 au 50 anakua anahama hivo hivo sasa endelea na tafiti zako wenzio fursa wanafakia juu kwa juu na hawapo mitandaoni
Hata waganga nao hutuambiaga hvView attachment 3269458
How to Become Wealthy in 5 Years
- Become Financially Educated
- Learn Money Management
- Save Money to Invest
- Invest in Passive Income Sources
- Network with self-made Rich People
- Have Mutual Sources of Income
Tatizo ni where is a source of income for those all? ?View attachment 3269458
How to Become Wealthy in 5 Years
- Become Financially Educated
- Learn Money Management
- Save Money to Invest
- Invest in Passive Income Sources
- Network with self-made Rich People
- Have Mutual Sources of Income
Ni kweli mtaji pia tatizo.Tatizo ni where is a source of income for those all? ?
Hizo zote zinataka uwe tyr unapesa ndio unapeleka huko. Ss hyo pesa yenyewe hauna. Yaani ni jobless au job to eat
Manake uchukue hela ya mkopo ufanyie mtaji? . . . Ulisikia wapNi kweli mtaji pia tatizo.
Je ujui mbinu yyte ya kupata mtaji? Hufikirii mikopo?