Jinsi ya kuwa tajiri

Utajiri ni matokeo, fanya kazi kwa bidii, tengeneza credit profile nzuri, anzisha miradi inayogusa jamii moja kwa moja (huduma za kijamii kama shule, hospitali, usafirishaji, au uzalishaji wa house hold items au madawa au solution yoyote ya kimtandao), fanya ibada sana. Mungu ni mwema siku zote
 
Jiandae ku handle stress.
Jiandae kuanguka na kubaki na zero na mtaji wa expirience utakaokusaidia kuanguka tena iwapo utaweza kusimama tena.
Tumia ubongo zaid ya misuli
 
Kuna dawa mbili kijana, Unataka dawa upate utajiri au dawa ufanye kazi upate utajiri?
 
1. Weka bidii kwa chochote utakacho amua kukifanya.
2. Kua na nidhamu ya pesa pamoja na watu wanao kuzunguka.
3. Baha yako itakufaa kwa kufanya mambo sahihi kwa wakati sahihi.
 
Kuna mtu mmoja alisema kuwa rich it is more spiritual, thats why si kila mtu anaweza kuwa tajiri Ila ni wengi tunatamani kuwa matajiri
Triple G
That might be true..as there many things we dont know about🤷‍♀️

On my perception..been rich is by picking up what you're putting down..But there is a message for everyone.. Interests should change as you mature and become more oriented in your reality.

And the Rich are not just rich in money.. But rich in mind and spirituality.. Just as the poor are not just poor money wise but also poor in decision making and poor in personality😊
 
Nataka mtu anishauri kwa undani how to become rich. Ninahakikisha hapa kuwa, kitakachosemwa nitakifanyia kazi na kuleta mrejesho hapa baada ya kufanikiwa.
watakwambia usichague kazi, fanya kazi kwa bidii, usikate tamaa, pia mwombe Mungu utafanikiwa tu.Matajiri hawaelezi vyote.

hayo ni sawa ila sio hyo formula sio guarantee ya mafanikio, kufanikiwa level ya kuwa tajiri inahitaji nidhamu kubwa ya kila resource unayopata, fursa uitumie vizur, bidii ya kujituma, nidhamu ya pesa na kuepuka kabisa starehe, kujifunza kila siku na kuongeza vyato vya mapato, na uvumivu, weza kutumia akili na maarifa na teknolojia kufanikiwa katika unachofanya, na kweli mtoa rizki ni MUNGU, kusali na kutoa sadaka na kusaidia wahitaji hufungua milango ya baraka, ukizingatia yote hayo utafanikiwa ila mdogo mdogo, mafanikio yasiyo na makando kando huja taratibu, ila shortcut za utajiri zipo, ila zote huwa na mwisho mbaya, mfano kila THABO BESTER etc.

pia katafute vitabu vya walifanikiwa, kuna vitabu vinavyojibu hili swali, ila cha mtanzania ni kile cha Mengi " I CAN, I MUST, I WILL"
 
Madini sana mkuu
 
Kuwa tajiri Kuna Mambo mengi ila vitu muhimu ni hivi hapa

Jipe maarifa kila siku kwa kusoma vitabu majarida kusikiliza audio n.k

Cha pili kuwa mbunifu kwenye kitu chochote unachofanya naamini kwa 100% utajiri unaletwa na ubunifu hakuna tajiri ambaye siyo mbunifu

Cha tatu ishi kwa nidhamu kwenye maisha yako kwa kuwa na bidii heshima

Cha nne lenga zaidi kusaidia watu jamii kutatua matatizo makubwa na mazito yanaowakabili watakupa pesa zote na utajiri wote unaotaka mf jamii shida yao kubwa ni maji au hospital huduma muhimu na kingine chochote ukijitoa kwa dhati kabisa utapata utajiri wote matajiri wote na mtu yeyote mwenye pesa Kuna kitu amesaidia jamii kukifanikisha ndio nao wakampa utajiri

Cha tano tambua unachokitaka na weka nguvu zako zote kupata kama ni utajiri weka nguvu zako zote

Cha sita muhimu zaidi unapaswa kuwa na uvumilivu wa hali ya juu kupata pesa ni ngumu sana na nivita kubwa sana unapaswa ushinde kila kikwazo kitachokuja mbele yako pambana bila kuchoka vumilia utapata utajiri

Fanya haya kwa 80% tu baada ya muda leta mrejesho SoC 2022 - Jinsi biashara ya viatu inavyonitoa mavumbini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…