watakwambia usichague kazi, fanya kazi kwa bidii, usikate tamaa, pia mwombe Mungu utafanikiwa tu.Matajiri hawaelezi vyote.
hayo ni sawa ila sio hyo formula sio guarantee ya mafanikio, kufanikiwa level ya kuwa tajiri inahitaji nidhamu kubwa ya kila resource unayopata, fursa uitumie vizur, bidii ya kujituma, nidhamu ya pesa na kuepuka kabisa starehe, kujifunza kila siku na kuongeza vyato vya mapato, na uvumivu, weza kutumia akili na maarifa na teknolojia kufanikiwa katika unachofanya, na kweli mtoa rizki ni MUNGU, kusali na kutoa sadaka na kusaidia wahitaji hufungua milango ya baraka, ukizingatia yote hayo utafanikiwa ila mdogo mdogo, mafanikio yasiyo na makando kando huja taratibu, ila shortcut za utajiri zipo, ila zote huwa na mwisho mbaya, mfano kila THABO BESTER etc.
pia katafute vitabu vya walifanikiwa, kuna vitabu vinavyojibu hili swali, ila cha mtanzania ni kile cha Mengi " I CAN, I MUST, I WILL"