mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Bahati mbaya kwa lugha sahihi inaitwa mkosi,hakunaga bahati iliyo mbayaSwali zuri sana bahati ni jambo linalotokea pasipo wewe kutarajia Kuna aina mbili za bahati nzuri na bahati mbaya
Kipindi cha vurugu za mererani
Zipo njia tatu za kuwa tajiriNataka mtu anishauri kwa undani how to become rich. Ninahakikisha hapa kuwa, kitakachosemwa nitakifanyia kazi na kuleta mrejesho hapa baada ya kufanikiwa.
Huko huko kaliua nenda kwenye hifadhi, fyeka eneo la heka 5 Lima bangi, baada ya mwaka una Milioni 100Nataka mtu anishauri kwa undani how to become rich. Ninahakikisha hapa kuwa, kitakachosemwa nitakifanyia kazi na kuleta mrejesho hapa baada ya kufanikiwa.
Tax evading to be precise 😀 this one has made most billionaires in this sorry nation. It still proves to be the most significant way to the riches.Sometimes it's tax evasion[emoji23]
Mfano Kama upo dsm ukafungua kibanda unauza mom energy dabo Kiki na spirit za Bei Rahisi na sigara Basi na ukawa maeneo ya uswahilini ujue pesa utazikimbia hii ndo Biashara ya kuuwa maini ya watu huku wewe muuzaji ukitengenza faida ya kutosha.Tax evading to be precise 😀 this one has made most billionaires in this sorry nation. It still proves to be the most significant way to the riches.
Good Business + Tax evading + Time lapse = Multi millions.
The next best way is to do illegal shit. Selling Narcotics, Marijuana, Banned goods. Its more of a risk but doing so will turn you into a multi millionaire within a short period of time.
Illegal business + Long Time lapse = Multimillionaire.
Hahahahaha amini kwamba 😀 wamasai wamejikita huko sanaMfano Kama upo dsm ukafungua kibanda unauza mom energy dabo Kiki na spirit za Bei Rahisi na sigara Basi na ukawa maeneo ya uswahilini ujue pesa utazikimbia hii ndo Biashara ya kuuwa maini ya watu huku wewe muuzaji ukitengenza faida ya kutosha.
Bahati inatengezwa piaSwali zuri sana bahati ni jambo linalotokea pasipo wewe kutarajia Kuna aina mbili za bahati nzuri na bahati mbaya
Inategemea na vyanzo vyako,pana watu wanakula Sana anasa,pisi kali,wanalewa Sana ,fanya starehe Sana na still ni matajiri.Sema utajiri ni kuwa bahili na kukaa mbali na Anasa
Hii nilingudua kuwa pesa ukiwa nayo mfano unafukuzia mchongo wa mil 2 lakini kwa account una mil 1 ya kula chakula miezi miwili Basi unatafta michongo bila pressure na unakua unaangalia zaidi faida kuliko Hasara
Utajiri ni roho ya kuithamini Kesho kuliko leo.
Hao teyari wameshajitafuta, na uchumi wao upo vizuri, hata akila bata mwezi mzima, hawezi ku affect mtaji wake in a negative way , still bado atakuwa vizuri,Inategemea na vyanzo vyako,pana watu wanakula Sana anasa,pisi kali,wanalewa Sana ,fanya starehe Sana na still ni matajiri.
Ishu za ubahili ni ishu za masikini na waoga kutafuta.
Vipi wewe umeyafanya hayo au unaongea tu kwa kuwa kuongea ni rahisi?Hi mbinu rahisi zaidi
Andaaa tsh 5ml
Andaa roho ngumu
Andaa miaka 10 ya mapambano
Tafuta uzoefu na elimu ya kilimo
Anza kulima mpunga kibiashara
Nakaziia Lima mpunga tuuu
Hakikisha kwenye hiyo miaka kumi hupotezi msimu wowote
Location; mikoa yenye historia ya mvua nyingi
After 10 year njoo unishukuru ?
Namwabia kwa sababu Nafahamu!Vipi wewe umeyafanya hayo au unaongea tu kwa kuwa kuongea ni rahisi?