Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Utajiri unatokea tuu pasi na kutalajia,,ukiutafuta kwa pupa utaangukia kwa saangoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo unafanya, je, umefanikiwa kuupata huo utajiri?Namwabia kwa sababu Nafahamu!
Na ninafanya.
Mzee naona nielekeze jinsi ya Kutengeneza bahati ya bilioni mojaBahati inatengezwa pia
Ahsante sanakuwa tariji panategeme kwanza kabisa lazima upate maarifa ya fedha na namna ya kuzihandle,lazima ujue watu waliofanikiwa wanaishije, lakini pia una hitaji uwe na kunnection ya watu waliofanikiwa au tunasema lazima rafiki zako wawe wamefanikiwa, jifunze uwekezaji, kufanya kazi kwa bidii, tafuta njia za kujiingizia kipata, fanya kazi na watu vizuri,usikatee tamaa, kuwa na mpango wa jinsi gani utaweza kutimiza ndoto yako kama huna mpango pasi hautapat uekeo wowote