Jinsi ya kuwa wakala mkuu wa kusajili line za simu

Jinsi ya kuwa wakala mkuu wa kusajili line za simu

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
644
Reaction score
582
Habarini wana JF nina wazo la kuwa wakala mkuu wa kusajili line na kumiliki vijana kadhaa wakusajili.

Je, utaratibu upoje na jinsi ya malipo inakuwaje?
 
Mara nyingi wanapewa wale walioanza kusajili laini kama FLs. But. Nenda shop watakupa maelekezo

Malipo ni Commission kulingana na ufanyaji kazi wa vijana wako.
Mfano unaweza kupewa asilimia 5 ya vocha watakazojaza wateja waliosajiliwa na vijana wako
 
Anh sawa mkuu
Mara nyingi wanapewa wale walioanza kusajili laini kama FLs. But. Nenda shop watakupa maelekezo

Malipo ni Commission kulingana na ufanyaji kazi wa vijana wako.
Mfano unaweza kupewa asilimia 5 ya vocha watakazojaza wateja waliosajiliwa na vijana wako
 
Transform Your Agency Banking Business Today! 💼📈

Are you a mobile or bank agent looking to boost your income and streamline your operations? 🚀

The Wakala Agency Banking System (Mfumo wa Kusimamia Biashara ya Uwakala) empowers agents to seamlessly manage, track finances, and unlock growth opportunities! 💰

✅ Effortless financial tracking
✅ Remotely monitor your business anytime, anywhere
✅ Smart insights with data analysis
✅ Join a thriving community of agents
✅ Built for agents in Tanzania

Ready to take your business to the next level? Watch this video to learn more:
View: https://www.youtube.com/watch?v=2j8SyAnClIQ

📞 Call us now: 0762 896 544

Empower your business. Empower your future. 🌟
 
Boresha Biashara Yako ya Uwakala Leo!

Je, wewe ni wakala wa simu au benki?

WAKALA ni mfumo wa kidijitali unaokuwezesha:

✅ Kufanya hesabu zako kwa urahisi.

✅ Kutunza na kufuatilia kumbukumbu kwa usalama.

✅ Kusimamia biashara yako kwa ufanisi.

✅ Kupata taarifa za biashara yako haraka na kwa usahihi.

Fanya haya yote na mengine popote ulipo, wakati wowote!

Karibu tukuhudumie: 0762 896 544

Boresha biashara yako, boresha maisha yako!
 
Back
Top Bottom