Jinsi Ya kuwafanya Wateja Wanunue Bidhaa/Huduma Zako Pasipo Kujitambua Wamenunuaje....

Jinsi Ya kuwafanya Wateja Wanunue Bidhaa/Huduma Zako Pasipo Kujitambua Wamenunuaje....

Adama H

Member
Joined
Jan 9, 2026
Posts
28
Reaction score
66
.Uliwahi kwenda maeneo ya Soko kama karikoo au mnadani kufanya Manunuzi ya Bidhaa tofauti Tofauti

LAKINI

.Wakati unafanya matembezi maeneo tofauti tofauti ya soko kusafishia macho ukiwa huna Hili wala lile

.Gafla unakutana na Mfanyabiashara au machinga ana anza kukushawishi

.Ununue Bidhaa zake na wewe Bila hata Kufikili wala kujitambua unajikuta

umeshawishika umenunua Hizo Bidhaa

NA

Yawezekana Hizo Bidhaa hazikuwa kwenye bajeti Yako wala hukuwa na Mpango nazo kabisa

ILA

.Baada ya Kuondoka Maeneo ya Soko na kufika Nyumbani kwako Baada ya akili Yako kutulia

.Una amua kukagua Bidhaa zako ulizonunua wakati unakagua Bidhaa zako unagundua Kuna Bidhaa

.Umenunua kimakosa na huna uhitaji nayo kabisa

.Una anza kuwaza labd Mfanyabiashara
Aliyekuuzia hizo Bidhaa ametumia

Madawa au Nguvu za ajabu kukushaiwishi wewe Ununue Hizo Bidhaa pasipo ridhaa yako

Asa Leo Ngoja nikueleze kuwa sio kweli unapouziwa Bidhaa Pasipo wewe

.Kujitambua umenunuaje madawa na uchawi ndio Huwa unatumika

Bali Ni Mbinu Ya Hatari Sana ya kisaikolojia ya Mauzo ndio Huwa

inatumika kukufanya ufanye maamuzi ya kununua Bidhaa pasipo utambuzi wako

Ngoja nieleze Hapa Chini ili uelewe vizuri
👇

Kila Binadamu yoyote unayemuona hapa Duniani Haijalishi anatokea nchi gani

Linapokuja swala la kufanya maamuzi ya kununua au jambo Fulani

Basi maamuzi yake Huwa yanafanywa na sehemu Hizi Mbili

Moja sehemu ya akili ambayo IPO Ndani ya Ubungo

NA

Mbili ni sehemu ya Hisia Ambayo ipo Ndani ya Moyo

Kwahiyo wewe kama Mfanyabiashara ukitaka kumfanya Binadamu yoyote

Yule afanye Maamuzi ya kununua Bidhaa/Huduma Zako Pasipo

Kutambua amenunuaje Basi Hakikisha Maamuzi yake anayafanya kwa kutumia Hisia zilizopo Ndani ya Moyo

Na Je Utawezaje Kuwafanya Wateja wako Wafanye maamuzi ya kununua
Kwa kutumia Hisia na Sio Akili

.Ngoja nieleze Hapa Chini
👇

Kwenye Hisia Za Binadamu zilizopo Ndani ya Moyo Kuna kitu kinaitwa Hofu

Na Hii Hofu ni Moja kati ya Hisia
ambazo zinazongoza kumfanya

Binadamu afanye Maamuzi pasipo kujitambua kabisa

Na Hizi Hofu zimegawanyika katika sehemu tofauti tofauti Kuna Hofu ya

kukosa,Hofu ya kuonekana mjinga,hofu ya kukataliwa, hofu ya Kifo ,Hofu ya kuanza nk

Kwahiyo wewe kama Mfanyabiashara unahitaji ujenge uwezo wa kutumia

Hofu ya kukosa ili kuwasukuma wateja wako Wanunue Bidhaa zako kwa Wingi na kuwafanya

Wafanye maamuzi ya kununua pasipo kujitambua

Na Kadri unavyokuwa na uwezo mkubwa wa kuwafanya Wateja wako wawe na hofu ya kukosa Bidhaa zako

Ndio unavyowafanya Wanunue sana Bidhaa zako

PS Usitumie Mbinu Hii kuumiza na kutapeli watu jifunze Mbinu ili ikusadie

Kuongeza Mauzo Kwenye Biashara Yako maana Mbinu Hii inatumiwa

NA

Matapeli Nguli Kuwatapeli watu Hela zao na wauzaji Nguli kupandisha mauzo ya Biashara

Tumaini Langu Umepata Kitu Kipya Cha Kujifunza

By the way kama ulikua unahitaji Kujifunza zaidi juu ya Mbinu Hii piga simu kwenda 0618474341

Mtwa Mkwawa Kiboko ya wajerumani

Adama H.
 
Kuna siku nilinunua kiatu 30K nilipofika home nikajiuliza ilikuaje hadi nikashawishika kununua na mbaya zaidi nilivaa mara moja nkaona kinanibana nkakiacha.
 
Back
Top Bottom