Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Mbinu rahisi ni kuwa tu na hela.Wazee salama ngoja niende moja kwa moja kwenye point nimegundua njia rahisi za kuwapata hawa viumbe pasua kichwa , njia hii inahitaji akili kidogo tu na njia yenyewe ni kuacha kuwashobokea au kuwapaparikia wanawake.
Wazee amini usiamini ukiwa bize na mambo yako yaani na life lako mademu watakutafuta sana utakula papuchi mpaka ukimbie.
Bro tafuta hela