Jinsi ya kuwapata Wanawake kirahisi

Mbinu rahisi ni kuwa tu na hela.
Bro tafuta hela
 
Akkwa busy anasaka hela kwa kweli mbususu zitanileta zenyewe maana wananwake wanajua kunusa pesa from 100 miles away...na hawana shida kukupa mbususu kama ndalama zipo
Sasa si ndio mpaka aweze, hivi hivi atarudi tu kusaka mbususu mwenyewe.
 
Umekula ngapi na umekimbia ngapi? Picha tafadhali.
 
Lakini sasa inategemeana huo ubize wako kama upo upo tu utatoswa tu ni nini unachomiliki mwanamke hawezi kukushobokea kama hauna usafiri
Ila jamani wanawake na gari sijui ni nini kinawapagawasha na motorcar...ebu Kelsea na to yeye mje mtuambie kwa nini wannawake mnapagawa sana mkiona mwanaume ana motorcar
 
Kama unasafiri usilale gari likakushusha gereji mkuu
[emoji848]
 
Kushobokea ni kama kufanyaje mkuu? Salimia jamii inayokuzunguka acha kukwepa salamu kisa unataka papuchi ikufuate yenyewe
 
Sasa nani anataka kuchomwa na jua? Wewe mwenyewe unapenda gari, hakuna anaependa shida.
Sasa kama mwapenda gari sii mnunue why upande la mwanaume na kuishia kulowesha chupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…