Gastar Sultan
Member
- Nov 24, 2014
- 15
- 0
Habari wana jamii. Natumaini kuwa ni wazima wa afya!
Nilikuwa na matatizo nawaomba mnisaidie kwa wale wenye uelewa na mambo haya au wale walikuwa wanafanya biashara kama hii ya blog. Nimetengeneza baadhi ya blog na tayali zinafanya kazi ila kinachonishinda sasa ni jinsi ya kuweka matangazo katika hizo blog kwahiyo nawaomba kama kuna mtu ana uzoefu na ishu hii anisaidie jinsi ya kuweka hayo matangazo!
Nawatakia siku njema.