Jinsi ya kuzuia harufu mbaya kwenye mapumbu

Sawa tu ungekuwa mwanaume,wadada wangesema we mvulana au wanaume wameisha..sasa sijui mi nkuiteje wewe
 
Dahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
Mwambie akaoge kabla ya gemu
 
Ni wachafu tu. Hawajisafishi vizuri... wengi wakishajimwagia maji anashika dushe tu amemaliza. Wanatakiwa kusafisha pembeni kwenye mifereji kati ya mapaja, kusafisha bonde lote la makalio kwa sabuni na maji mengi, kunyoa vinywweleo kuzunguka bonde. Kuoga angalau mara mbili kwa siku. Kubadili chupi/boxer kila siku.

Hasa vidume vya dar vinanuka balaaa kwa ajili ya joto. Sio wote loooool
 
sasa mtu hadi anakuja mko wote mna haraka gani ya kukimbilia kunyonyana kabla hata ya kujipiga maji? iwe mwanamke au mwanaume..alafu mnakuja kulialia hapa..chukua muda wako, jifanyieni usafi...mjikaushe vizuri mambo ndo yaendelee..
 
Dahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
Nimecheka ulivyosema "tuwasaidiaje hawa wanaume". hii sentensi inaukakasi, ngoja maswali yaje, utaulizwa umenusa wangapi.

Kama hana michubuko, atumie Whitefield ointment.
 
Ni wachafu tu. Hawajisafishi vizuri... wengi wakishajimwagia maji anashika dushe tu amemaliza. Wanatakiwa kusafisha pembeni kwenye mifereji kati ya mapaja, kusafisha bonde lote la makalio kwa sabuni na maji mengi, kunyoa vinywweleo kuzunguka bonde. Kuoga angalau mara mbili kwa siku. Kubadili chupi/boxer kila siku.

Hasa vidume vya dar vinanuka balaaa kwa ajili ya joto. Sio wote loooool
Ulishatoka nao wangapi kwa mfano?
 
Dahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
Ushajaribu wangapi ili kugundua hili?
 
Ni wachafu tu. Hawajisafishi vizuri... wengi wakishajimwagia maji anashika dushe tu amemaliza. Wanatakiwa kusafisha pembeni kwenye mifereji kati ya mapaja, kusafisha bonde lote la makalio kwa sabuni na maji mengi, kunyoa vinywweleo kuzunguka bonde. Kuoga angalau mara mbili kwa siku. Kubadili chupi/boxer kila siku.

Hasa vidume vya dar vinanuka balaaa kwa ajili ya joto. Sio wote loooool
Wewe haunuki??
 
Issue ya kutoka inakujaje hapa? Nimekuelezea unavyotakiwa kujiosha... haina maana nina uzoefu wa kulala nao
Mi nataka kujua tu ulijuaje kama hatujioshi vizuri?
 
Sijaelewa...nguo ya ndani, ubadili baada ya siku tatu??? Unajishughulisha na nini kuingiza kipato? Hali ya hewa ya unapoishi ikoje?

Suruali, YES! Boxer? Vest? Shirt? Hapana.

Umesoma post yangu na kunielewa??? Hivi unadhani ni asilimia ngapi ya wanaume wanabadili nguo za ndani kila siku?

Kwani wewe ni me au ke? kama ni me basi usijifanye mgeni hapa, almost wote tumepitia huko!
 
Back
Top Bottom