Jinsi ya kuzuia harufu mbaya kwenye mapumbu

Hhahahaha nimemkumbuka yule bwana iliesemekana uvungu wake wa pumbu umejaa pumba pumba dah hahahahaa
 
Mh! wewe lazma utakuwa wa mikoani! kule wanakolala na ng'ombe chumba kimoja! pichu ubadili kwa siku tatu? au sijakuelewa basi si bora ujifanye kama wamasai usivae kabisa! mkiambiwa Dar es Salaam inawastaarabisha mnabisha! njooni mfundishwe usafi Dar! maji kila kona! mito ipo, bahari zipo mabwawa chemchem zipo!

Ungejua nilipo wala usingeropoka hayo maneno. By the way, kwani nimesema mimi ndo nabadili baada ya siku tatu? Mtu hadi anafikia stage ya kunuka halafu umkazanie kila siku abadili si utakuwa uongo live? That's whynikasema aanze na siku tatu kwanza.

Relax mkuu....hunifahamu - sikufahamu!
 
Pablo, kutumia dawa bila kuzingatia mambo ya afya ni bure.

Hakikisha unavaa boxer au chupi za cotton. Na unabadili kila siku.

Hakikisha unajifuta vizuri na maji yote kukauka kabla hujavaa boxer au chupi.

Hakikisha unanyoosha pasi nguo zako za ndani kabla ya kuvaa kama huwa unaanika ndani na una fungus.

Kabla ya kutumia dawa, tupa au choma moto nguo za ndani za zamani na ununue mpya.

Hakikisha mwezi wako hana fungus, unaweza ukawa unajitibu, kumbe mwenza wako ndiyo tatizo.

Baada ya kutumia dawa na kuona mambo ni yale yale, nenda kamwone dr.
Nimejifunza kitu shukran
 
Mh! wewe lazma utakuwa wa mikoani! kule wanakolala na ng'ombe chumba kimoja! pichu ubadili kwa siku tatu? au sijakuelewa basi si bora ujifanye kama wamasai usivae kabisa! mkiambiwa Dar es Salaam inawastaarabisha mnabisha! njooni mfundishwe usafi Dar! maji kila kona! mito ipo, bahari zipo mabwawa chemchem zipo!
We unamshangaa kdume kubadili boxer ndani ya siku tatu kweli we ni shori
 
ulifanya utafiti kwa wangapi....?
usafi muhimu hata wakati wa haja ndogo....
 
Dahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
Mkuu usisahau na papuchi zinazotowa harufu ya panya kafa unawasaidiaje na hawa
 
sasa mtu hadi anakuja mko wote mna haraka gani ya kukimbilia kunyonyana kabla hata ya kujipiga maji? iwe mwanamke au mwanaume..alafu mnakuja kulialia hapa..chukua muda wako, jifanyieni usafi...mjikaushe vizuri mambo ndo yaendelee..
hayo mambo ya pwani bwana mjini tuko nafanya vitu kwa usmart na usasa zaidi
 
Dahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
Ni tatizo la kitaifa kwa sasa na hakuna dawa zaidi ya kuoga na kujikausha
 
Ni wachafu tu. Hawajisafishi vizuri... wengi wakishajimwagia maji anashika dushe tu amemaliza. Wanatakiwa kusafisha pembeni kwenye mifereji kati ya mapaja, kusafisha bonde lote la makalio kwa sabuni na maji mengi, kunyoa vinywweleo kuzunguka bonde. Kuoga angalau mara mbili kwa siku. Kubadili chupi/boxer kila siku.

Hasa vidume vya dar vinanuka balaaa kwa ajili ya joto. Sio wote loooool
Ulianza vizuri pale mwanzo ila mwishoni ktk kumalizia ndo umeharibu.
By the way nikukumbushe tu, si kila Mchina unayemuona anajua kung-fu.
 
Pablo, kutumia dawa bila kuzingatia mambo ya afya ni bure.

Hakikisha unavaa boxer au chupi za cotton. Na unabadili kila siku.

Hakikisha unajifuta vizuri na maji yote kukauka kabla hujavaa boxer au chupi.

Hakikisha unanyoosha pasi nguo zako za ndani kabla ya kuvaa kama huwa unaanika ndani na una fungus.

Kabla ya kutumia dawa, tupa au choma moto nguo za ndani za zamani na ununue mpya.

Hakikisha mwezi wako hana fungus, unaweza ukawa unajitibu, kumbe mwenza wako ndiyo tatizo.

Baada ya kutumia dawa na kuona mambo ni yale yale, nenda kamwone dr.
Umesema vizuri sana. Tatizo ni usafi tu. Wakati wa kuoga unatakiwa ujisafishe vizuri sana maeneo kati ya mapaja na korodani vizuri. Kuna dead skin inakuwepo around korodani kila siku ukisugua ikatoka kamwe huwezi toa harufu uko chini.
 
Sijaelewa...nguo ya ndani, ubadili baada ya siku tatu??? Unajishughulisha na nini kuingiza kipato? Hali ya hewa ya unapoishi ikoje?

Suruali, YES! Boxer? Vest? Shirt? Hapana.
Labda yupo makambako Iringa, kutoka jasho ni nadra sana
 
Ni wachafu tu. Hawajisafishi vizuri... wengi wakishajimwagia maji anashika dushe tu amemaliza. Wanatakiwa kusafisha pembeni kwenye mifereji kati ya mapaja, kusafisha bonde lote la makalio kwa sabuni na maji mengi, kunyoa vinywweleo kuzunguka bonde. Kuoga angalau mara mbili kwa siku. Kubadili chupi/boxer kila siku.

Hasa vidume vya dar vinanuka balaaa kwa ajili ya joto. Sio wote loooool
sifikii na sijapata wa kunyoaa jameni...hahahhaa ww ni shidaaa
 
Haha ha haaa Hufikii... tafuta wa kukusaidia. AU Unaweza tumia veet.... paka vizuriii baada ya dakika kumi toa... ni rahisi tu.
 
Back
Top Bottom