Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 939
Mh! wewe lazma utakuwa wa mikoani! kule wanakolala na ng'ombe chumba kimoja! pichu ubadili kwa siku tatu? au sijakuelewa basi si bora ujifanye kama wamasai usivae kabisa! mkiambiwa Dar es Salaam inawastaarabisha mnabisha! njooni mfundishwe usafi Dar! maji kila kona! mito ipo, bahari zipo mabwawa chemchem zipo!
Nimejifunza kitu shukranPablo, kutumia dawa bila kuzingatia mambo ya afya ni bure.
Hakikisha unavaa boxer au chupi za cotton. Na unabadili kila siku.
Hakikisha unajifuta vizuri na maji yote kukauka kabla hujavaa boxer au chupi.
Hakikisha unanyoosha pasi nguo zako za ndani kabla ya kuvaa kama huwa unaanika ndani na una fungus.
Kabla ya kutumia dawa, tupa au choma moto nguo za ndani za zamani na ununue mpya.
Hakikisha mwezi wako hana fungus, unaweza ukawa unajitibu, kumbe mwenza wako ndiyo tatizo.
Baada ya kutumia dawa na kuona mambo ni yale yale, nenda kamwone dr.
We unamshangaa kdume kubadili boxer ndani ya siku tatu kweli we ni shoriMh! wewe lazma utakuwa wa mikoani! kule wanakolala na ng'ombe chumba kimoja! pichu ubadili kwa siku tatu? au sijakuelewa basi si bora ujifanye kama wamasai usivae kabisa! mkiambiwa Dar es Salaam inawastaarabisha mnabisha! njooni mfundishwe usafi Dar! maji kila kona! mito ipo, bahari zipo mabwawa chemchem zipo!
Mkuu usisahau na papuchi zinazotowa harufu ya panya kafa unawasaidiaje na hawaDahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
hayo mambo ya pwani bwana mjini tuko nafanya vitu kwa usmart na usasa zaidisasa mtu hadi anakuja mko wote mna haraka gani ya kukimbilia kunyonyana kabla hata ya kujipiga maji? iwe mwanamke au mwanaume..alafu mnakuja kulialia hapa..chukua muda wako, jifanyieni usafi...mjikaushe vizuri mambo ndo yaendelee..
Ni tatizo la kitaifa kwa sasa na hakuna dawa zaidi ya kuoga na kujikaushaDahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
Ulianza vizuri pale mwanzo ila mwishoni ktk kumalizia ndo umeharibu.Ni wachafu tu. Hawajisafishi vizuri... wengi wakishajimwagia maji anashika dushe tu amemaliza. Wanatakiwa kusafisha pembeni kwenye mifereji kati ya mapaja, kusafisha bonde lote la makalio kwa sabuni na maji mengi, kunyoa vinywweleo kuzunguka bonde. Kuoga angalau mara mbili kwa siku. Kubadili chupi/boxer kila siku.
Hasa vidume vya dar vinanuka balaaa kwa ajili ya joto. Sio wote loooool
Umesema vizuri sana. Tatizo ni usafi tu. Wakati wa kuoga unatakiwa ujisafishe vizuri sana maeneo kati ya mapaja na korodani vizuri. Kuna dead skin inakuwepo around korodani kila siku ukisugua ikatoka kamwe huwezi toa harufu uko chini.Pablo, kutumia dawa bila kuzingatia mambo ya afya ni bure.
Hakikisha unavaa boxer au chupi za cotton. Na unabadili kila siku.
Hakikisha unajifuta vizuri na maji yote kukauka kabla hujavaa boxer au chupi.
Hakikisha unanyoosha pasi nguo zako za ndani kabla ya kuvaa kama huwa unaanika ndani na una fungus.
Kabla ya kutumia dawa, tupa au choma moto nguo za ndani za zamani na ununue mpya.
Hakikisha mwezi wako hana fungus, unaweza ukawa unajitibu, kumbe mwenza wako ndiyo tatizo.
Baada ya kutumia dawa na kuona mambo ni yale yale, nenda kamwone dr.
Labda yupo makambako Iringa, kutoka jasho ni nadra sanaSijaelewa...nguo ya ndani, ubadili baada ya siku tatu??? Unajishughulisha na nini kuingiza kipato? Hali ya hewa ya unapoishi ikoje?
Suruali, YES! Boxer? Vest? Shirt? Hapana.
sifikii na sijapata wa kunyoaa jameni...hahahhaa ww ni shidaaaNi wachafu tu. Hawajisafishi vizuri... wengi wakishajimwagia maji anashika dushe tu amemaliza. Wanatakiwa kusafisha pembeni kwenye mifereji kati ya mapaja, kusafisha bonde lote la makalio kwa sabuni na maji mengi, kunyoa vinywweleo kuzunguka bonde. Kuoga angalau mara mbili kwa siku. Kubadili chupi/boxer kila siku.
Hasa vidume vya dar vinanuka balaaa kwa ajili ya joto. Sio wote loooool
sifikii na sijapata wa kunyoaa jameni...hahahhaa ww ni shidaaa