makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Wewe ni nani mpaka umpangie mwenzio maisha yake?Sasa hela zake anatafuta kwa ajili ya nini?
Hela kama hazibadirishi maisha yako ya hapa duniani, yani yanafanana na ya mqsikini basi hizi ni sawa karatasi tu
Kila mtu na tafsiri yake, utajiri, maisha etc.
Pengine mwenzio ndio anaenjoy maisha kuliko maelezo.
We tafuta zako tumia vile unavyoona wewe ni sahihi.