makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Dec 8, 2023 #41 Crimea said: Sasa hela zake anatafuta kwa ajili ya nini? Hela kama hazibadirishi maisha yako ya hapa duniani, yani yanafanana na ya mqsikini basi hizi ni sawa karatasi tu Click to expand... Wewe ni nani mpaka umpangie mwenzio maisha yake? Kila mtu na tafsiri yake, utajiri, maisha etc. Pengine mwenzio ndio anaenjoy maisha kuliko maelezo. We tafuta zako tumia vile unavyoona wewe ni sahihi.
Crimea said: Sasa hela zake anatafuta kwa ajili ya nini? Hela kama hazibadirishi maisha yako ya hapa duniani, yani yanafanana na ya mqsikini basi hizi ni sawa karatasi tu Click to expand... Wewe ni nani mpaka umpangie mwenzio maisha yake? Kila mtu na tafsiri yake, utajiri, maisha etc. Pengine mwenzio ndio anaenjoy maisha kuliko maelezo. We tafuta zako tumia vile unavyoona wewe ni sahihi.
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 Dec 8, 2023 #42 makaveli10 said: Mzee kama ni kweli umefanya jambo la SEKONDARI saana Click to expand... Aisee [emoji3][emoji3][emoji3]
makaveli10 said: Mzee kama ni kweli umefanya jambo la SEKONDARI saana Click to expand... Aisee [emoji3][emoji3][emoji3]
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 4,412 Reaction score 8,198 Dec 8, 2023 #43 Baba Rhobi said: Mi natumia hiyo toka kitambo sana, Hii ni balaa tupu, sema ndo hivo lazima uwe umeroot simu. View attachment 2836078 Click to expand... Ukiroot weka Lucky Patcher tu aisee ina block ads mpaka unasahau mpaka waga kuna matangazo mtandaoni.. Lucky Patcher ina customizations nyingi mno hata kumodify app moja moja kuziondolea matangazo kama hutaki kublock kwenye the whole device.
Baba Rhobi said: Mi natumia hiyo toka kitambo sana, Hii ni balaa tupu, sema ndo hivo lazima uwe umeroot simu. View attachment 2836078 Click to expand... Ukiroot weka Lucky Patcher tu aisee ina block ads mpaka unasahau mpaka waga kuna matangazo mtandaoni.. Lucky Patcher ina customizations nyingi mno hata kumodify app moja moja kuziondolea matangazo kama hutaki kublock kwenye the whole device.