Jinsi ya kuzuia mimba na kujua unaingia lini period kwa kutumia simu

Jinsi ya kuzuia mimba na kujua unaingia lini period kwa kutumia simu

Ndugu naelewa kabisa calculation zake na tulikuwa tumeitumia kwa zaidi ya miezi 6 bila shida. Sudden change kwenye circle ndo ilivuruguka, Subiri MP wapi!! Kumbe tayari.
Sasa ikivurugika unaandika tarehe pale itacalculate nakuonyesha sasa yeye ndo alijisahau, mi mwenyewe hushika tarehe nakuhesabu mwenyewe kiulaini tu.
 
Kama una smart phone bna huna haja ya kuogopa tena
Install application ya period tracker inakuonesha kila kitu
Siku safe kusex
Ovulation day
Siku ngapi zimebaki upate period etc
Yaani inakuonesha yai lipo wapi kila Siku hadi raha
wauza mechi utawajua tu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ndugu naelewa kabisa calculation zake na tulikuwa tumeitumia kwa zaidi ya miezi 6 bila shida. Sudden change kwenye circle ndo ilivuruguka, Subiri MP wapi!! Kumbe tayari.
Sasa hiyo sudden change mngeifanyia kazi kwanza
 
Naongezea msisitizo tuu!, sipendi mtu akutane na hii moment humu [emoji3][emoji3][emoji3]

eec62245e0f45b52fab19bfb6dc1f290.jpg
Ya kutoona siku zake anaona za Mungu tu[emoji23][emoji23][emoji2]
 
Not very recommendable!! Niulize kilichotupata na mke wangu!!!! Kumbe calendar ilivuruguka pasipo kujua, kilichotokea ni mapacha wanaopishana mwaka na nusu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahahhaah uuwiiiiiiiii
 
Ina maana siku 28 ...yaan mwezi wako unaanza tarehe 1- 28 then unapata period or?
 
Kuna siku dada mmoja hivi alikua ananioneshea kwenye simu yake hiyo application, akawa ananiambia D Leo nipo safe ona sasa mimi nikawa simwelewi akanipotezea, Baadae ndio nikajua kumbe alikua anataka mgegedo kweli ushamba ni mzigo.
 
Mimi inanisaidia mnooo sio siri tumerahisishiwa mambo
 
Halafu ukishapigwa mashine inatulia ,usipotoombwa inapiga tu kelele
Sex time!sex time!
You made my day mwanamke kama wewe ukanipata mwanaume kama Mimi nitaenjoy sana hakuna kuoneana haya nanua tutaponduana mapaka raha ina wezekana hata nisitamani kuwa na mchepuko sababu uko huru sana
 
Inafanyaje kazi mtusaidie tulioko kwenye ndoa ili tuitumie kama njia ya uzazi wa mipango.
Nenda play store download Period Tracker ukimaliza kuna maelezo hapo unayafata basi mambo yanajipa
 
Back
Top Bottom