Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Hao ni kwa sababu ya Utumiaji wa P2 mfululizo??Hapa si inategemea kama una MP inayoeleweka!
Kuna wale wenzangu mara tarehe 20 mara tarehe 10
Ni shida
Sasa ikivurugika unaandika tarehe pale itacalculate nakuonyesha sasa yeye ndo alijisahau, mi mwenyewe hushika tarehe nakuhesabu mwenyewe kiulaini tu.Ndugu naelewa kabisa calculation zake na tulikuwa tumeitumia kwa zaidi ya miezi 6 bila shida. Sudden change kwenye circle ndo ilivuruguka, Subiri MP wapi!! Kumbe tayari.
wauza mechi utawajua tu[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kama una smart phone bna huna haja ya kuogopa tena
Install application ya period tracker inakuonesha kila kitu
Siku safe kusex
Ovulation day
Siku ngapi zimebaki upate period etc
Yaani inakuonesha yai lipo wapi kila Siku hadi raha
Sasa hiyo sudden change mngeifanyia kazi kwanzaNdugu naelewa kabisa calculation zake na tulikuwa tumeitumia kwa zaidi ya miezi 6 bila shida. Sudden change kwenye circle ndo ilivuruguka, Subiri MP wapi!! Kumbe tayari.
sasa ka application kanini hako mama[emoji2] [emoji2]Ahahaaa wewe navoogopa ngoma?
Inaitwaje?Mi ninayo hyo application nzuri yani inanionyesha mzunguko wangu wa siku ngapi danger days na siku free. Hii nzuri hata kwa uzazi wa mpango
Ya kutoona siku zake anaona za Mungu tu[emoji23][emoji23][emoji2]Naongezea msisitizo tuu!, sipendi mtu akutane na hii moment humu [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahahhaah uuwiiiiiiiiiNot very recommendable!! Niulize kilichotupata na mke wangu!!!! Kumbe calendar ilivuruguka pasipo kujua, kilichotokea ni mapacha wanaopishana mwaka na nusu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahahahwauza mechi utawajua tu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jaribu uoneLoooh!!!!
Wewe ni wa kike?Ina maana siku 28 ...yaan mwezi wako unaanza tarehe 1- 28 then unapata period or?
You made my day mwanamke kama wewe ukanipata mwanaume kama Mimi nitaenjoy sana hakuna kuoneana haya nanua tutaponduana mapaka raha ina wezekana hata nisitamani kuwa na mchepuko sababu uko huru sanaHalafu ukishapigwa mashine inatulia ,usipotoombwa inapiga tu kelele
Sex time!sex time!
Kuna demu nilikua nakamuana nae hata siku za Period hakua anataka nijue shenzi taiiipuUtajua Siku zao za hatare mtu hatokutegesha mimba hata Siku moja
Inafanyaje kazi mtusaidie tulioko kwenye ndoa ili tuitumie kama njia ya uzazi wa mipango.Mm inanisaidia mnooo sio siri
Tumerahisishiwa mambo
Nenda play store download Period Tracker ukimaliza kuna maelezo hapo unayafata basi mambo yanajipaInafanyaje kazi mtusaidie tulioko kwenye ndoa ili tuitumie kama njia ya uzazi wa mipango.