Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wadau mimi nina tatizo moja. Tupo kwenye group la ukoo lina mambo mengi na watu wengi. Sometimes nakuwa busy sitaki kujihusisha na mambo yake. So huwa kama vipi nasoma tu text kama ni muhimu najibu kama si muhimu nataka niwe busy.
Sasa tatizo ni ile hali ya mtu aliyetuma text yeye kujua kuwa umesoma text yake wakati pengine wewe hutaki ajue kuwa umesoma na hujataka mjibu.
Maana mnajua kuna ndugu wengine pasua kichwa sana. Wanapenda attention anaandika kitu mtu unajikuta hutaki kumjibu kwa sababu una mheshimu so unaamua kunyamaza, yeye anaona umesoma.
Swali: Nawezaje kusoma meseji ya mtu kwenye group na yeye asijue kama nmesoma au ni mmoja kati ya watu waliosoma text yake?