Jinsi ya kuzuia nywele zisiote haraka

Jinsi ya kuzuia nywele zisiote haraka

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Nmekuwa nikikwazika na kasi ya uotaji wa nywele kichwani kwangu. Binafsi napenda sana kupiga kipara.naondoa nywele sote kabisa.

Shida ni kuwa baada ya siku tatu nakuta tayar zimeshaanza kuota tena kwa wing tu.nmenyoa jumapili lakin leo n nmejiangalia kichwan utadhan week mbili zimepita.

Je kuna namna ya kuchelewesha nywele kuota?
 
Vipi uotaji wa zile nywele zingine kiongozi au tatizo liko kwenye hizo nywele za kichwani tu?

Hilo tatizo lako lisijekuwa linatokana na hormone imbalance/disruption.
 
Nmetumia kiswahili ili kila mtu aelewe. Nmeandika kwa kiswahili chepesi kabisa...
Vipi uotaji wa zile nywele zingine kiongozi au tatizo liko kwenye hizo nywele za kichwani tu?

Hilo tatizo lako lisijekuwa linatokana na hormone imbalance/disruption.
 
Kuna shaving cream moja nliitumia kunyolea uku kwa bibi nlikaa kama miezi miwili bila nywele kuota mpaka nka miss mav*zi yangu
Nmeisahau jina naona hiyo ingekufaa nkiikumbuka jina ntarudi
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ukiikumbu
Kuna shaving cream moja nliitumia kunyolea uku kwa bibi nlikaa kama miezi miwili bila nywele kuota mpaka nka miss mav*zi yangu
Nmeisahau jina naona hiyo ingekufaa nkiikumbuka jina ntarudi
Ukiikumbuka usisite kurudi cause nami naitaka
 
Kuna shaving cream moja nliitumia kunyolea uku kwa bibi nlikaa kama miezi miwili bila nywele kuota mpaka nka miss mav*zi yangu
Nmeisahau jina naona hiyo ingekufaa nkiikumbuka jina ntarudi

Naomba unipm jina lake plszzzzzzzzz
 
Back
Top Bottom