Badilishaneni hizo nyweleMi nataka ziote haraka mwenye dawa plz
Hahahhaah nakugawaBadilishaneni hizo nywele
Vipi uotaji wa zile nywele zingine kiongozi au tatizo liko kwenye hizo nywele za kichwani tu?Nmekuwa nikikwazika na kasi ya uotaji wa nywele kichwani kwangu. Binafsi napenda sana kupiga kipara.naondoa nywele sote kabisa.
Shida ni kuwa baada ya siku tatu nakuta tayar zimeshaanza kuota tena kwa wing tu.nmenyoa jumapili lakin leo n nmejiangalia kichwan utadhan week mbili zimepita.
Je kuna namna ya kuchelewesha nywele kuota?
Vipi uotaji wa zile nywele zingine kiongozi au tatizo liko kwenye hizo nywele za kichwani tu?
Hilo tatizo lako lisijekuwa linatokana na hormone imbalance/disruption.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kuna shaving cream moja nliitumia kunyolea uku kwa bibi nlikaa kama miezi miwili bila nywele kuota mpaka nka miss mav*zi yangu
Nmeisahau jina naona hiyo ingekufaa nkiikumbuka jina ntarudi
Ukiikumbuka usisite kurudi cause nami naitakaKuna shaving cream moja nliitumia kunyolea uku kwa bibi nlikaa kama miezi miwili bila nywele kuota mpaka nka miss mav*zi yangu
Nmeisahau jina naona hiyo ingekufaa nkiikumbuka jina ntarudi
Kuna shaving cream moja nliitumia kunyolea uku kwa bibi nlikaa kama miezi miwili bila nywele kuota mpaka nka miss mav*zi yangu
Nmeisahau jina naona hiyo ingekufaa nkiikumbuka jina ntarudi
umekuja kututamanisha tuKuna shaving cream moja nliitumia kunyolea uku kwa bibi nlikaa kama miezi miwili bila nywele kuota mpaka nka miss mav*zi yangu
Nmeisahau jina naona hiyo ingekufaa nkiikumbuka jina ntarudi
Acha uchoyo bana tehNaomba unipm jina lake plszzzzzzzzz
Hapana sijakuja kuwatamanaisha nmeisahau jina maana mpaka nliogopa nlijua mavu*i yangu hayata ota tena ngoja nkikumbuka ntawapatia jinaumekuja kututamanisha tu
tuambie jina tutokomeze misitu
Ngoja ndo naitafta soon ntawaletea jinaNaomba unipm jina lake plszzzzzzzzz