Jinsi ya kuzuia sms isionekane kwenye kioo wakat nipo mbal na sim

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,965
Wakuu msaada jinsi kuzuia SMS ikiingia isionekane kwenye kioo wakat nipo mbal Asanteni
 
Ungekua unatumia simu ya Xiaomi ni rahisi mno, hata mkeo ashike simu miaka mia hawezi pata usichotaka aone, sio SMS tu hadi applications na kila kitu kwenye simu yako hawezi kuona na hawezi gundua kitu

Mkuu Kwa iyo hamna app mbadala?
 
Wakuu msaada jinsi kuzuia SMS ikiingia isionekane kwenye kioo wakat nipo mbal Asanteni
Ingia kwenye settings then notifications angalia sms App notification chagua "hide sensitive notification contents" usipoiona hapo usitoke kwenye notifications hapo angalia Advanced Notifications kisha angalia "sms" bofya uchague "hide sensitive content"

Hii ni kwa watumiaji wa Samsung phones, nadhani hata simu zingine haitatofautiana sana hii

Cheza kwenye settings hapo utaipata tu
 
1086511

Message>Option/setting>Notification/Notification Panel>Message Preview>Off/No>Done/Save
 
Sasa hapo si itakuwa kila msg inayoingia hapati SMS
Hata msg ya mshahara uloingia hatapata
Kwani aliweka vigezo ni Txt zipi apate!?.. Ye alitaka zisionekane zikiingia hakutaka kublock baadhi ya txt au sikumuelewa hapa 👇👇👇

Back
Top Bottom