Jinsi ya kuzuia sms isionekane kwenye kioo wakat nipo mbal na sim

Nunua nokia ya torch special kwa michepuko ukitaka kutoka una screen no kuna inbox yake special kusoma sms au simu zikiingia hakuna saut wala vibration
 
Mkuu natumia Samsung A 8 tatizo la sim yangu haina option delivery report je nafanyaje hapa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mchepukaji kazini[emoji125]
 
Mkuu natumia Samsung A 8 tatizo la sim yangu haina option delivery report je nafanyaje hapa?
Ingia uwanja wa sms [emoji117]gusa vile vidoti vitatu viko juu kulia[emoji117]Settings[emoji117]More settings[emoji117]text messages[emoji117]Delivery reports.

Hapo kwenye Deliveey reports iweke ON au tunaita "Check" yaani uiwashe.
 
Ungekua unatumia simu ya Xiaomi ni rahisi mno, hata mkeo ashike simu miaka mia hawezi pata usichotaka aone, sio SMS tu hadi applications na kila kitu kwenye simu yako hawezi kuona na hawezi gundua kitu
Mkuu unafanyaje maana natumia Xiaomi pia
 
Ungekua unatumia simu ya Xiaomi ni rahisi mno, hata mkeo ashike simu miaka mia hawezi pata usichotaka aone, sio SMS tu hadi applications na kila kitu kwenye simu yako hawezi kuona na hawezi gundua kitu
kwenye xiaomi unaingia sehemu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…