Jinsi ya kuzuia usiote ndoto za kishetani

Jinsi ya kuzuia usiote ndoto za kishetani

Inaonekana hujasoma paragraph ya kwanza ya mada yangu. Nimesema hivi: "Watu wengi wanapolala huota ndoto. Baadhi ya ndoto ni za kawaida, nyingine zinatoka kwa Mungu, na nyingine hutokana na akili zetu wenyewe. Lakini pia zipo ndoto zinazotokana na shetani. Ndoto za kishetani huleta hofu, mateso na kumfanya mtu akate tamaa. Ndoto za kishetani hazifurahishi bali zinakera na kuumiza moyo..."

Mimi ni mmoja wa wahanga wa ndoto hizo, nimesumbuliwa sana na majini mqhaba
Najua una maanisha nini
 
Ni kweli nimeota ndoto mpaka nazikwa.
Na sasa ndoto za kula usiku zinasumbua sana, nakutana mahali nawajua watu tunakula usiku kucha, nyama, samaki kila kitu.
Naamka nimeshiba Mbaya.
Hapo sina njaa tena siku 4-5.
Mungu saidia Kwa kweli.
Dah wewe mkuu una kismat sana,watu njaa zinawatesa zinawafanya waende kufanya kazi ngumu ili washibe ils wewe unapata vyakula vya bure ukiwa usingizini na ukiamka hutamani tena kula sasa hapo si ndio vizuri unasave gharama.
 
Ni kweli nimeota ndoto mpaka nazikwa.
Na sasa ndoto za kula usiku zinasumbua sana, nakutana mahali nawajua watu tunakula usiku kucha, nyama, samaki kila kitu.
Naamka nimeshiba Mbaya.
Hapo sina njaa tena siku 4-5.
Mungu saidia Kwa kweli.
Ukiwa JF ukashindwa kucheka, basi tena😀😀😀
 
Asante lakini nngependa kujua maana ya ndoto hizo za shule je ni ujumbe gani unakuwa unapewa?
 
Setfree
Kwa uelewa wangu kuhusu masuala ya ndoto kibiblia,

1) hakuna mahali nimeona bibilia imesema kuna ndoto zinatoka kwa shetani.

2) Ndoto mbaya, na zinazoleta hofu sio za kuzuia au kuzikataa bali ni taarifa, kwahyo ukiota ndoto mbaya ni ujumbe unapewa ili ushughulikie jambo husika, ila ukizizuia inamaana unakataa kupokea taarifa zitakazo kujulisha mambo mabaya yanayo kuzunguka.
 
hakuna mahali nimeona bibilia imesema kuna ndoto zinatoka kwa shetani.
Mimi nilikuwa na hoja kama hiyo. Amenijibu kwamba kitabu cha Ayubu ndicho kinachoonyesha kwamba kuna ndoto za shetani. Mojawapo ya mambo aliyoyatumia shetani kumtesa Ayubu ni kumletea ndoto za vitisho. Soma post #9 uone alivyonifafanulia
 
Mtoa mada, mimi sin acha kukuambia ila YEYE abarikie na akubariki
 
Kuna siku niliota kuku anacheza mziki, hii ndoto ipo upande gani mkuu?
 
Mimi nilikuwa na hoja kama hiyo. Amenijibu kwamba kitabu cha Ayubu ndicho kinachoonyesha kwamba kuna ndoto za shetani. Mojawapo ya mambo aliyoyatumia shetani kumtesa Ayubu ni kumletea ndoto za vitisho. Soma post #9 uone alivyonifafanulia
ukisoma vizuri sura ya saba yote utaona Ayubu alikua anaongea na mungu anamlalamikia, kuhusu kukosa hata usingizi kwa sababu ya hizo ndoto.

Ila aioneshi kwamba ndoto alizoota zimetoka kwa shetani.
 
ukisoma vizuri sura ya saba yote utaona Ayubu alikua anaongea na mungu anamlalamikia, kuhusu kukosa hata usingizi kwa sababu ya hizo ndoto.

Ila aioneshi kwamba ndoto alizoota zimetoka kwa shetani.
Actually, Ayubu alikuwa anaongea na Mungu bila ufahamu. Hakujua kwamba mateso aliyoyapata yalitoka kwa shetani. Yeye alifikiri mambo yote mabaya yaliyompata ni Mungu aliyeyaleta ndio sababu alisema Bwana ametoa Bwana ametwaa. Ila kiukweli aliyetwaa hakuwa Bwana, shetani ndiye aliyewaua watoto wa Ayubu na kumletea magonjwa mazito na hata hizo ndoto mbaya, of course baada ya kuruhusiwa na Mungu.
 
ndoto azikutoka kwa shetani, soma Ayubu 33: 13 hadi 19 utaelewa.
Ndoto alizokua anapata zililua nikupewa tahadhari na kujukishwa yanayo endelea kwenye maisha yake
 
Back
Top Bottom