Jinsi ya kuzuia usiote ndoto za kishetani

😁samahani ungekuwa unasummarize
Just hivyo tu


Nashauri tu
Kwa nia njema 😁
kwa amani ya Bwana
Au sio?
 
Katika yote aliyoainisha mleta mada mimi huo naaply kipengele cha maombi pekee, nikiomba wakati wa kulala haitokei nikaota ndoto ya hovyo! Kinyume chake pia nikilala bila kuomba basi nashuhudia ndoto zenye mazongezonge mengi na za kutisha! Hii imenipa ushuhuda wa dhahiri kabisa kwamba ipo nguvu kubwa sana ktk kuomba!
 
Amen
 
Mimi ni mmoja wa wahanga wa ndoto hizo, nimesumbuliwa sana na majini mqhaba
Najua una maanisha nini
Njia za kuzuia usumbufu huo umezijua. Zifanyie kazi utalala unono kila siku
 
Cc dogo The Icebreaker
 
Setfree tag me kila nyuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…