Jinsi ya kuzuia wezi wa Tv majumbani

Sasa unasema inazuia tv kuibiwa afu teena unasema itakusaidia kukujulisha uelekeo wa tv yako iliyoibiwa....

Tv gani sasa unaiongelea!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hichoo kifaa kikoje.. sio kama kile cha lampard electr ana uzaaa 30,000 elfu... mi mpaka nikione hapa hapa
 
Tafute suluhu ya simu zikiiniwa zipatikane. Mkiweza hili watu watawashuru.
 

Itakuwa vipi ikaibiwa TV na simu uliyounganishi!! Wezi wameingia ndani, wamewataitisha wakachukua vyote hivyo, kuna njia gani mbadala ya kupata vifaa!!?
 
Nnafanya biashara ya tv,
Nahitaj tufanye ubia, uniuzie mfumo wako nami niwauzie wateja Wangu.
Imekaaje mkuu
 
GPS nyingi ndogo za tv hazina backup battery yani tv ikiibiwa utaweza i track mpaka ichomekwe kwenye power muda huo unakuta washakagua ns kuitoa kabla ya kuwasha na kama ina battery inakaa na chaji muda gani waeleze wadau usije kugombana na mteja siku tv ikiibiwa.
 
Itakuwa vipi ikaibiwa TV na simu uliyounganishi!! Wezi wameingia ndani, wamewataitisha wakachukua vyote hivyo, kuna njia gani mbadala ya kupata vifaa!!?
Ndio maana utakuwa na namba zangu za simu kunitafuta ili nikupe msaada.
 
Hizi GPS zinakuwa na backup battery, zinauwezo wa kukaa masaa matatu bila umeme. unapofunga GPS inakusaidia kujua wapi muelekeo wa wezi walipoenda na mpaka nyumba waliyoingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…