Jinsi ya kuzuia wezi wa Tv majumbani

Jinsi ya kuzuia wezi wa Tv majumbani

  • Je umenunua TV yako ya gharama kubwa na bado unahofia wezi wanaweza kuja kukuibia TV yako.
  • Je unajua asilimia kubwa ya vitu vinavyoibiwa majumbani ni TV.
  • I-SECURE wanalo jibu ni jinsi gani unaweza kulinda TV yako.Tumekuletea kifaa kipya kitakachofungwa ndani ya TV yako na kukuwezesha kujua Taarifa muhimu. Utapata taarifa kupitia androip app.
  • Kumbuka hiki kifaa kinafungwa ndani ya TV hivyo Itakurahisishia kupata vitu vyako Kama kumetokea wizi nyumbani kwako na TV yako imeibiwa.
  • Hiki Kifaa hakitazuia wezi Kukuibia, kitakujulisha ni wapi muelekeo wa TV yako baada ya kuibiwa. Pia kinaweza kukupigia simu yako endapo TV itakumbwa na mtikisiko
  • Bei ya kufungiwa kifaa hiki ni 180,000. Pia unatakiwa kusajili laini mpya ya simu kwa ajili ya kuwekea kwenye kifaa cha GPS
+255 710 141 917 ,+255 713 416 466,
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

View attachment 2298845
Sasa unasema inazuia tv kuibiwa afu teena unasema itakusaidia kukujulisha uelekeo wa tv yako iliyoibiwa....

Tv gani sasa unaiongelea!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Je umenunua TV yako ya gharama kubwa na bado unahofia wezi wanaweza kuja kukuibia TV yako.
  • Je unajua asilimia kubwa ya vitu vinavyoibiwa majumbani ni TV.
  • I-SECURE wanalo jibu ni jinsi gani unaweza kulinda TV yako.Tumekuletea kifaa kipya kitakachofungwa ndani ya TV yako na kukuwezesha kujua Taarifa muhimu. Utapata taarifa kupitia androip app.
  • Kumbuka hiki kifaa kinafungwa ndani ya TV hivyo Itakurahisishia kupata vitu vyako Kama kumetokea wizi nyumbani kwako na TV yako imeibiwa.
  • Hiki Kifaa hakitazuia wezi Kukuibia, kitakujulisha ni wapi muelekeo wa TV yako baada ya kuibiwa. Pia kinaweza kukupigia simu yako endapo TV itakumbwa na mtikisiko
  • Bei ya kufungiwa kifaa hiki ni 180,000. Pia unatakiwa kusajili laini mpya ya simu kwa ajili ya kuwekea kwenye kifaa cha GPS
+255 710 141 917 ,+255 713 416 466,
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

View attachment 2298845
hichoo kifaa kikoje.. sio kama kile cha lampard electr ana uzaaa 30,000 elfu... mi mpaka nikione hapa hapa
 
Tafute suluhu ya simu zikiiniwa zipatikane. Mkiweza hili watu watawashuru.
 
  • Je umenunua TV yako ya gharama kubwa na bado unahofia wezi wanaweza kuja kukuibia TV yako.
  • Je unajua asilimia kubwa ya vitu vinavyoibiwa majumbani ni TV.
  • I-SECURE wanalo jibu ni jinsi gani unaweza kulinda TV yako.Tumekuletea kifaa kipya kitakachofungwa ndani ya TV yako na kukuwezesha kujua Taarifa muhimu. Utapata taarifa kupitia androip app.
  • Kumbuka hiki kifaa kinafungwa ndani ya TV hivyo Itakurahisishia kupata vitu vyako Kama kumetokea wizi nyumbani kwako na TV yako imeibiwa.
  • Hiki Kifaa hakitazuia wezi Kukuibia, kitakujulisha ni wapi muelekeo wa TV yako baada ya kuibiwa. Pia kinaweza kukupigia simu yako endapo TV itakumbwa na mtikisiko
  • Bei ya kufungiwa kifaa hiki ni 180,000. Pia unatakiwa kusajili laini mpya ya simu kwa ajili ya kuwekea kwenye kifaa cha GPS
+255 710 141 917 ,+255 713 416 466,
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

View attachment 2298845

Itakuwa vipi ikaibiwa TV na simu uliyounganishi!! Wezi wameingia ndani, wamewataitisha wakachukua vyote hivyo, kuna njia gani mbadala ya kupata vifaa!!?
 
Nnafanya biashara ya tv,
Nahitaj tufanye ubia, uniuzie mfumo wako nami niwauzie wateja Wangu.
Imekaaje mkuu
 
GPS nyingi ndogo za tv hazina backup battery yani tv ikiibiwa utaweza i track mpaka ichomekwe kwenye power muda huo unakuta washakagua ns kuitoa kabla ya kuwasha na kama ina battery inakaa na chaji muda gani waeleze wadau usije kugombana na mteja siku tv ikiibiwa.
 
Itakuwa vipi ikaibiwa TV na simu uliyounganishi!! Wezi wameingia ndani, wamewataitisha wakachukua vyote hivyo, kuna njia gani mbadala ya kupata vifaa!!?
Ndio maana utakuwa na namba zangu za simu kunitafuta ili nikupe msaada.
 
GPS nyingi ndogo za tv hazina backup battery yani tv ikiibiwa utaweza i track mpaka ichomekwe kwenye power muda huo unakuta washakagua ns kuitoa kabla ya kuwasha na kama ina battery inakaa na chaji muda gani waeleze wadau usije kugombana na mteja siku tv ikiibiwa.
Hizi GPS zinakuwa na backup battery, zinauwezo wa kukaa masaa matatu bila umeme. unapofunga GPS inakusaidia kujua wapi muelekeo wa wezi walipoenda na mpaka nyumba waliyoingia
 
Back
Top Bottom